The House of Favourite Newspapers

MZEE MWINYI: MENGI Ameondoka Dah! – Video

Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Dkt. Ali Hassan Mwinyi akiwa ameongozana na mkewe wamewasili msibani nyumbani kwa marehemu Dkt. Reginald Mengi, Kinondoni jijini Dar kwa ajili ya kutoa pole kwa wafiwa, na waombolezaji wote.

TAZAMA MZEE MWINYI AKIZUNGUMZA

 

 

Comments are closed.