The House of Favourite Newspapers

Nabii Natasha Aongeza Upako Shilo 2019 -Video

0
Nabii Natasha akisalimiana na Mama Rwakatare.

MTUMISHI wa Mungu, Nabii Natasha leo amenogesha tamasha la Shilo lililofanyika katika Kanisa la Mlima wa Moto lililopo Mikocheni ‘A’ Dar es Salaam.

Tamasha hilo linaloaminika kuwa na nguvu kubwa ya ki-Mungu na kujibu maombi ya waombaji,  hufanyika kila mwaka kanisani hapo. Katika Shilo ya mwaka huu mgeni rasmi ni Nabii wa Kimataifa na Mtumishi wa Mungu,  Natasha kutoka nchini Kenya.

Mama Rwakatare akitoa neno.
Kwaya ikitoa burudani kwa waumini.
Nabii Natasha akiwanyooshea mkono wa baraka waumini (hawapo pichani)
Waumini wakiwa katika maombi.

HABARI:NEEMA ADRIAN | PICHA: RICHARD BUKOS /GPL

Leave A Reply