The House of Favourite Newspapers

Nabii Natasha Aongeza Upako Shilo 2019

0
Nabii Lucy Natasha akisalimiana na Mchungaji Mama Getrude Rwakatare

MTUMISHI wa Mungu Nabii Lucy Natasha kutoka nchini Kenya, ametua nchini leo Alhamisi, Desemba 19, 2019, na kushusha upako katika Tamasha la Shilo lililofanyika katika Kanisa la Mlima wa Moto lililopo Mikocheni ‘B’ jijini Dar es Salaam.

Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare akitoa neno wakati wa tamash hilo.

Tamasha hilo linaloaminika kuwa na nguvu kubwa ya Mungu na kujibu maombi ya waumini na wenye matatizo mbalimbali hufanyika kila mwaka Kanisani hapo ambapo mwaka huu linafanyika Desemba hii.

 

Kwaya ikitumbuiza waumini.

Katika Shilo ya mwaka huu mgeni rasmi ni Nabii wa Kimataifa Mtumishi wa Mungu Natasha kutoka nchini Kenya.

Nabii Natasha akiwanyooshea mkono wa baraka waumini (hawapo pichani).
Waumini wakiwa katika maombi.

HABARI:NEEMA ADRIAN

PICHA: RICHARD BUKOS /GPL

Leave A Reply