The House of Favourite Newspapers

Naibu Spika wa Bunge Amuonya Mbunge wa Tarime, Mwita Waitara – Video

0

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu, amemuonya Mbunge wa Tarime, Mwita Waitara na kumtaka ajirekebishe kufuatia tukio la utovu wa nidhamu alilolifanya bungeni.

Waitara wakati akichangia hoja, anadaiwa kuwa alishindwa kuheshimu kiti na kutoka bungeni kinyume cha sheria.

Naibu Spika amempa onyo na kumtaka kujirekebisha kama kanuni za bunge zinavyoeleza.

Leave A Reply