The House of Favourite Newspapers

Nani ‘Anambemenda’ Nani?

0

Gabriel Ng’osha
Neno ‘kubemenda’ siku hizi limekuwa ‘komoni’ Bongo kwa baadhi ya mastaa wanaotoka kimapenzi lakini wanapishana umri hasa inapotokea staa wa kiume ana umri mdogo na anatoka na wa kike mwenye umri mkubwa, japokuwa baadhi yao wanaamini kuwa mapenzi hayana macho ya kuona umri.
Katika makala haya utapata kujua nani ‘anambemenda’ mwenziye kati ya mastaa hawa wa muziki na filamu;

SHILOLE34-1Nedy na shilole

Zuwena Mohammed ‘Shilole’ mwenye umri wa miaka 30, anatoka na msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Nedy Music mwenye umri wa miaka 20, hivyo Shishi Baby anadaiwa kumbemenda dogo huyo.

Kajala-na-QuickQuick Rocka na Kajala

Kajala Masanja mwenye umri wa miaka 33, anadaiwa kutoka na Quick Rocka ambaye ana miaka 28, ikiwa ni wazi kuwa Kajala anamzidi jamaa huyo umri.

vee na ju

Jux na Vannessa mdee

Vanessa Mdee ‘V-Money’ mwenye umri wa miaka 28 anasemekana kuwa anatoka na Juma Khalid ‘Jux’ ambaye naye ana umri wa miaka 28 lakini Vanessa anadaiwa kumzidi kwa miezi kadhaa.
aunty33

Aunt Ezekiel na Iyobo

Aunt Ezekiel Grayson mwenye umri wa miaka 29 anadaiwa anambemenda mzazi mwenziye Mose Iyobo mwenye umri wa miaka 23.

nm

Riyama na Mysterio

Riyama Ally ana umri wa miaka 30 lakini anadaiwa kuwa anatoka na Leo Mysterio mwenye umri wa miaka 26.

dee n zee Diamond na Zari

Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’ mwenye umri wa miaka 35 anatoka na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ mwenye umri wa miaka 26.

Leave A Reply