The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi 3 National Audit Office (NAOT), Fani ya Uchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta II

0

POST FANI YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA KOMPYUTA II (COMPUTER SYSTEM ANALYSIS) – 3 POST
EMPLOYER National Audit Office (NAOT)
APPLICATION TIMELINE: 2022-05-27 2022-06-09
JOB SUMMARY ok
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kuandika programu za Kompyuta (Write and document code);

ii.Kuweka kumbukumbu na taratibu za kisasa na mbinu za kufanyia kazi;

iii.Kutekeleza chati za mtiririko wa mifumo ya nyendo za taarifa na udhibiti;

iv.Kufanya majaribio ya sehemu timilifu za programu za Kompyuta (Perform unit systems (module testing);

v.Kufanya majaribio ya usanidi wa mifumo ya TEHAMA (Perform testing of system configurations);

vi.Kufanya majaribio ya programu za Kompyuta kulingana na mahitaji ya watumiaji (Conducting user acceptance test); na

vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa  wenye Stashahada ya Juu au Shahada ya kwanza ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta, na Menejimenti ya Mifumo ya Habari.
REMUNERATION TGS E

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

 

Leave A Reply