The House of Favourite Newspapers

NBC Yasaini Makubaliano na Polisi Kuhusu Ulinzi wa Matawi Yake

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Liberatus Sabas ( kushoto) na Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya NBC, Waziri Barnabas wakisaini hati za makubaliano ya ulinzi wa askari wa jeshi hilo katika matawi yote ya NBC nchini. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni, Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Gustavus Babile, Mkuu wa kitengo cha Sheria wa NBC, Doxa Mbapila na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, Alelio Lowassa.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Liberatus Sabas (wa pili kushoto) na Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya NBC, Waziri Barnabas wakibadilishana hati za makubaliano ya ulinzi wa askari wa jeshi hilo katika matawi yote NBC nchini. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni, Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Gustavus Babile, Mkuu wa kitengo cha Sheria wa NBC, Doxa Mbapila na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, Alelio Lowassa.

Comments are closed.