The House of Favourite Newspapers

Ndege ya Indonesia Yaanguka, Yaua Wote 13 Waliokuwemo

_93015905_afp2 _93015907_afp

Wanajeshi wa Indonesia wakifanya uchunguzi baada ya ndege aina ya Hercules C-130 kuanguka katika eneo la misitu nchini Papua.

_93015433_indonesiapapua4641216
NDEGE ye jeshi la anga ya Indonesia aina ya Hercules C-130 imeanguka katika eneo la misitu nchini Papua na kuua watu wote waliokuwemo ndani yake ambao ni marubani watatu na wanajeshi 10.
Mnadhimu wa jeshi, Agus Supriatna aliiambia shirikala habari la Metro TV kwamba huenda hali ya hewa ndiyo iliyosababisha ajali hiyo.
Ndege hiyo ilikuwa imebeba chakula kutoka Timika kwenda Wamena ilipoanguka milimani karibu na sehemu iliyokuwa inakwenda.

MAKONDA ALIPOKUTANA NA MTOTO MWENYE ULEMAVU


halotel-strip-1-1

Comments are closed.