The House of Favourite Newspapers

Ndege Yaanguka Yaua 15, Majeruhi 34 Nchini Kazakhistan

0

NDEGE aina ya  Bek iliyokuwa imebeba abiria 95 na wahudumu watano  ilianguka uwanja wa ndege wa Almaty nchini Kazakhistan muda mfupi alfajiri (saa za huko) na kuua watu 15 na 34 kujeruhiwa.


Ndege hiyo ilikuwa ikielekea katika mji mkuu wa Kazakhstan wa Nursultan kutoka mji mkubwa wa Almaty ambapo inadaiwa ilipoteza mawasiliano baada ya kusafiri saa moja na dakika 22, kabla ya kugonga kizuizi kimoja na kuangukia nyumba ya ghorofa mbili.

 

 

Leave A Reply