The House of Favourite Newspapers

Ndoa ya Pipili Batili, Mchungaji Afunguka Mazito “Aape Tena” – Video

Miongoni mwa vitu vilivyowashangaza watu kwenye ndoa ya Mchekeshaji, MC Pilipili na mkewe Qute Mena, ni kitendo cha kula kiapo cha ndoa kinyume na inavyotakiwa kuapa.

 

Jambo hilo limeleta mkanganyiko sana mitandaoni huku kila mmoja akiwa na mtazamo wake, Global TV imezungumza  kuhusu kiapo kiapo hicho ambacho MC Pilipili hakutaka kutaja neno “shida na raha” wakati akiapa..

UTATA! NDOA Ya MC PILIPILI Kuwa BATILI, Mchungaji Afunguka MAZITO “AAPE TENA”

Comments are closed.