The House of Favourite Newspapers

Job Ndugai: Sitagombea Ubunge Tena

0

Mbunge Mteule wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai,  leo Oktoba 11, 2020 amesema hii ni awamu yake ya mwisho kugombea ubunge hivyo amewataka wenye nia njema ya kuliongoza jimbo hilo kujiandaa na kujipanga

Ndugai ametoa kauli hiyo leo asubuhi katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Mikaeli lililopo Kongwa Mjini mkoani Dodoma.

Job Ndugai amekuwa mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2000.

Leave A Reply