The House of Favourite Newspapers

Halima Mdee Afungiwa Siku 7 Kufanya Kampeni

0

Kamati ya Maadili imemfungia Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chadema, Halima Mdee kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia Oktoba 12 hadi 18, mwaka huu kwa kukiuka maadili ya uchaguzi.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Halima Mdee ameandika; “Kamati ya Maadili imenifungia siku saba, kuanzia 12-18/10/2020. Wamegoma kuangalia ushahidi tuliouwasilisha..”

Pakua App ya Global kwenye Google Playstore, App Store. Utasoma Habari, Magazeti yote kutoka GPL
⚫ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫ ANDROID: http://bit.ly/38Lluc8
⚫ ANDROID: http://bit.ly/38Lluc8

Leave A Reply