The House of Favourite Newspapers

Nedy Music Atua BONGO na TUZO ya AFRIMA – Video

Msanii wa Bongo Fleva Nedy ambaye yupo chini ya Lebo ya Muziki Pozi Kwa Pozi amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julisu Nyerere jijini Dar es Ssalaam leo akitokea Ghana baada ya kutwaa TUZO ya AFRIMA 2018 ya msanii bora anayependwa na watu (AFRICAN FANS’ FAVOURITE).

Nedy Music ndiye msanii pekee wa Tanzania ambaye amefanikiwa kushinda tuzo ya AFRIMA2018 nchini Ghana ikiwa ni tuzo za 5 kufanyika na zilikuwa na vipengele 36.

Comments are closed.