New Video: Vanessa Mdee – Cash Madame - Global Publishers


Imewekwa na on December 6th, 2016 , 09:32:55am

New Video: Vanessa Mdee – Cash Madame

vanessaMsanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ aliweka wazi kabisa kwamba mwaka huu ataumaliza kwa kishindo!

Vee Money baada ya kushirikishwa kwenye ngoma kali zinazobamba kwa sasa Barani Afrika, sasa kaachia ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la “Cash Madame” inayopatikana ndani ya Mkito.

Cash Madame imetengenezwa na E Kelly Beatz.

 Vanessa Mdee – Cash Madame (Official Music Video)

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana