The House of Favourite Newspapers

Malia Obama Agonga Miaka 17, Kujiunga Harvard Hivi Karibuni

070215-malia-obama-lead

FAMILIA ya Rais Obama ilikuwa na furaha kubwa wikiendi iliyopita wakati mtoto wao Malia Obama alikuwa akitimiza umri wa miaka 17. Malia ambaye ameonekana kukua kwa haraka tangu aanze kuonekana kwenye macho ya watu wengi mnamo mwaka 2008 ambapo baba yake Barac Obama aliingia madarakani kama rais wa Marekani.

Malia atajiunga na masomo elimu ya juu hivi karibuni ambapo mpaka sasa ameshapata vyuo viwili ambavyo ni Brown, Princeton (alichosoma mama yake mzazi) na Harvard (alichosoma baba yake masomo ya sheria). Itakuwa ni uamuzi wake aende kusoma chuo kipi kati ya hivyo viwili.

Zaidi ya kuwamwananfunzi anayefanya vizuri zaidi darasani, Malia amekuwa akiiga sehemu kubwa ya staili ya maisha ya mama yake, Michelle Obama.

halotel-strip-1-1

MAMA NTILIE ALIVYOTOKWA NA JASHO BAADA YA MAKONDA KUMUOJI KUHUSU CHAKULA

Comments are closed.