The House of Favourite Newspapers

Meridianbet yatoa msaada kwa wauza chakula Coco Beach

0

KAMPUNI bingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbet wamefanikia kufika eneo la Coco Beach jijini Dar-es-salaam Februari 17, 2024 na kuweza kutoa msaada wa vifaa vya usafi kwa Mama ntilie katika eneo hilo.

Kuhakikisha wanagawana na jamii ambayo inawazunguka kile kidogo walichovuna ndio umekua utaratibu wa Meridianbet kwa miaka yote, Ikiwa ndio sababu pia iliyowasukuma pia leo kufika maeneo ya Coco Beacha na kugawa Aprons kwa Mama Ntilie wa eneo hilo.

Kugawa Aprons katika eneo la Coco Beach ni wazo zuri kwani litaweza kuimarisha usafi katika eneo hilo, Lakini pia kuwaweka wahudumu hao katika mazingira safi jambo ambalo linaweza kulinda afya za watu.

Aidha Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumza kuhusiana na jambo walilolifanya leo” “Tunafahamu kabisa umuhimu wa usafi binafsi kwa kila mtu, na usafi binafsi ndio wa umuhimu sana katika kuimarisha Zaidi utunzaji wa mazingira katika maeneo ya biashara, hasa hasa eneo kama hili la biashara ya vyakula”

Wafanya biashara hao wadogowadogo wanaopatikana maeneo ya Coco Beach wametoa shukrani kwa kampuni ya Meridianbet kwa msaada walioutoa” Tunashukuru sana Meridianbet kufika mahala hapa ma kutupatia msaada wa Aprons, Lakini pia ningependa kutoa wito kwa makampuni mengine kuiga mfano kwa Meridianbet”

Suka mkeka wako na Meridianbet, kwani wana ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Leave A Reply