The House of Favourite Newspapers

Nike yatangaza mpira mpya La Liga, Premier

0

nike-ordem-16-17-premier-league-ball (2)  362A3A3E00000578-0-image-a-5_1468255636602 362A39DA00000578-0-image-a-2_1468255622791 LONDON, England

KAMPUNI ya Nike imetangaza kuwa mpira wa Ordem 4 ndiyo utakaotumika kwenye ligi tatu kubwa barani Ulaya msimu ujao. Kampuni hiyo imetangaza kutumia mpira huo kwenye Ligi Kuu ya England, La Liga na Serie A.

362A39FE00000578-0-image-a-4_1468255633189Awali picha ya mpira huo ilivuja, Juni 6, lakini juzi ndiyo kampuni hiyo ilitangaza rasmi kuwa mpira huo utatumika. Mpira huo wenye rangi mbalimbali huku kila ligi kati ya hizo tatu ikiwa na aina ya rangi yake. Kwa mpira wa England wenyewe utakuwa na rangi ya bluu na njano.

Leave A Reply