The House of Favourite Newspapers

Nikki wa Pili Aapishwa Kuwa Mkuu wa Wilaya Kisarawe-Picha

0

Nickson Simon maarufu Nikk wa Pili   ameapa mbele ya Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe, leo Juni 21, 2021.

Msanii huyo wa kundi la muziki la Hip Hop kutoka Arusha Weusi anachukua nafasi ya Jokate Mwegelo aliyeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kigamboni Dar es salaam.

 

Leave A Reply