The House of Favourite Newspapers

Ndoa Zangu Tatu Zilivunjika Kisa Sipati Ujauzito, Nimeolewa Ndoa ya Nne na Nimezaa Dume

0

 

Naweza kusema katika maisha kila jambo huwa na wakati wake, huwezi kulazimisha mambo kutokea wakati muda wake bado haujafika, ni kama kifaranga cha kuku, ukipasua yai kabla ya muda wake huwezi kupata kifaranga.

 

Ndivyo ilivyokuwa katika maisha yangu na yale niliyopitia katika ndoa zangu tatu za mwanzo, kila mwanaume ambaye alinioa alitaka nimzalie mtoto na alipoona muda unaenda bila kushika ujauzito alifukuza.

 

Hakuna ubishi kwamba walishindwa kujua ni muda wangu wa kuzaa mtoto haujafika. Nilikuwa najipa moyo kuwa kuna muda wangu utafika lakini muda nilikaa na kuwa na mawazo sana hasa nilipoachana na mume wangu wa tatu.

 

Baada ya muda wa kama mwaka mmoja, nilikuja kukutana na huyu mwanaume wangu wa sasa, alinipenda na tukaanzisha mahusiano ambayo naweza kusema mwanzo yalikuwa matamu ajabu.

 

Tuliendelea kupendana hadi ukifikia muda akaniambia kuwa anataka kunioa, nilimwambia sina mpango wa kuolewa tena kwani nimeshaolewa mara tatu na kuachika na yote kisa siwezi kubeba ujauzito.

 

Aliniambia nisiwe na shaka kwani anajua kitu cha kufanya, alinihakikishia kuwa ndani ya ndoa yetu nitazaa tena vizuri hivyo nimkubalie aweze kunioa.

 

Nilikaa na kutafakari sana na hatimaye nilikubali kufunga naye ndoa, tulifanya sherehe nzuri, ndugu, jamaa na marafiki walijumuika nasi na kutuzawadia vitu vya thamani sana. Wiki moja baada ya ndoa, mume wangu alinipeleka kwa Dr. Kiwanga ambaye ndiye  aliniwezesha kupata mtoto wangu.

 

Dr. Kiwanga alinifanyia tambiko lake na kunipa dawa za kwenda kutumia nyumbani, nilitumia dawa zile, baada ya muda mfupi niliweza kubeba ujauzito, ilikuwa ni furaha ajabu sana maishani mwangu. Nilikuja kujifungua salama mtoto wa kiume na hadi sasa nimejaliwa kupata watoto watatu wenye afya njema kabisa.

 

Wale wanaume walioniacha kipindi cha mwanzo wamekuwa wakinipigia simu na kuniuliza kwanini sikuwazaliwa watoto kama ilivyo kwa mume wangu huyu wa sasa. Binafsi huwa sina jibu la kuwapa zaidi ya kujisemea kimoyomoyo kwamba nyie mlichelewa kumjua  mtu muhimu ambaye ni Dr. Kiwanga.

 

Kumbuka Dr. Kiwanga anatibu maradhi kama kisukari, msukumo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo, pia anasuluhisha shida za kifamilia kama kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa na bahati katika maisha.

 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dr. Kiwanga kwa namba +254769404965, barua pepe [email protected] au tembelea tovuti yake ambayo ni www.kiwangadoctors.com  kwa mengi zaidi.

 

Leave A Reply