The House of Favourite Newspapers

Tunda: Nilificha Mimba, Naogopa Ndumba

Tunda Sebastian

VIDEO Queen wa Bongo,Tunda Sebastian ametoa sababu ya kudanganya kuwa hakuwa na ujauzito kwamba kuonesha tumbo la mimba ni kuwapa nafasi watu wabaya.

Akizungumza na Star Mix, Tunda alisema kuwa, mara nyingi anawakatalia watu kama ni mjamzito kwa sababu anaona siyo vizuri kumtangazia kila mtu kuhusiana na hali hiyo.

“Nimeamua kuwa tofauti kidogo na watu wengine kwani siyo lazima mtu ajue upo kwenye hali hiyo, ujue watu wengine siyo wema, kwenye macho wanakuchekea kumbe moyoni wanaumia,” alisema Tunda.

STORI: IMELDA MTEMA

Usipitwe na Matukio, Install App Yetu ya Global Publishers

Video ‘Upo Hapo’ ya Mwana FA, AY, FID Q Yazinduliwa jijini Dar

Comments are closed.