The House of Favourite Newspapers

Nilivyonusurika Kutapeliwa Sh. Milioni Moja Ubungo

0

Jina langu naitwa Lucy, nafanya biashara ya uwakala wa huduma za kifedha za mitandao mbalimbali ya simu katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Mikoani Ubungo, nina kibanda changu ambapo watu wanatuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu.

 

Nimefanya kazi hii kwa muda wa miaka mitatu sasa. Siku chache zilizopita, nilitokewa na tukio moja la ajabu, ambapo ilibaki kidogo nitapeliwe shilingi milioni moja na nusu.

 

Kama unavyojua tena Stendi ya Ubungo kunakuwa na mkusanyiko mkubwa sana wa watu, wengine wakiwa ni wasafiri na wengine wakiwa wanawasindikiza ndugu zao. Wingi huo wa watu, husababisha pia kuwe na wateja wengi sana, wengine wakiwa wanatuma fedha na wengine wakiwa wanatoa fedha kwa ajili ya kupata nauli.

 

Nakumbuka siku hiyo ilikuwa ni Jumatatu asubuhi, kama kawaida niliwahi kwenda kazini kwangu kwa sababu huwa nafungua alfajiri na mapema. Wateja wakaanza kumiminika kama kawaida, kila mmoja akihitaji huduma za kifedha kutoka mitandao mbalimbali ya simu.

 

Nikiwa naendelea na kazi, walikuja wateja wawili, mwanaume na mwanamke ambao kwa kuwatazama tu, walionesha kama ni mume na mke. Tukasalimiana nao kisha yulemwanamke akatoa simu na kuniambia kwamba alikuwa anataka kutoa shilingi milioni moja.

 

Akanisisitiza kwamba walikuwa na haraka kwa sababu wanasafiri kwenda mkoani Iringa na walikuwa wanataka kutumia hizo fedha kwa ajili ya nauli na mahitaji mengine.

 

Ilibidi nihesabu kwanza kiasi cha fedha taslimu nilichokuwa nazo, nikagundua kwamba haikuwa imefika shilingi milioni moja kama alivyokuwa anataka yule mwanamke. Nilikuwa na shilingi laki saba tu.

 

Nilimueleza yule mwanamke kwamba fedha zangu hazifiki shilingi milioni moja kama alivyokuwa anataka, akaniambie nimpe hizohizo laki saba mume wake ili akakate tiketi haraka kwani basi lilikuwa linakaribia kuondoka na walikuwa wanatakiwa kununua baadhi ya mizigo ya kusafiri nayo.

 

Bila hata kufikiria mara mbili, nilitoa zile fedha na kuimkabidhi mume wake, akaondoka huku yule mwanamke akibaki pale ofisini kwangu, akawa anajifanya ni kama anatoa hela kwenye simu ili tunalizane kama tulivyokuwa tumekubaliana.

 

Aliniuliza namba ya wakala, nikamtajia na nikawa nasubiri muamala uingie kwenye simu yangu. Muda huohuo alikuja mteja mwingine ambaye yeye alikuwa anataka kutuma shilingi laki tatu. Kwa kuwa yule mteja wa kwanza nilikuwa nimempa laki saba na yeye alikuwa anataka shilingi milioni moja, na kwa sababu tayari nilishapata fedha za kujazia, ilibidi nimuongeze zile laki tatu ili hesabu zake zitimie.

 

Nikaanza kumhudumia huku nikisubiri yule mwanamke amalizie kuniingizia fedha zangu. Muda mfupi baadaye, meseji iliingia kwenye simu yangu kuonesha kwamba yule mwanamke alikuwa ameshatuma fedha kwenye namba yangu ya uwakala.

 

Kabla hata sijaangalia kuhakikisha, akatoweka eneo lile. Nilipomaliza kumhudumia huyu mwingine wa laki tatu, nilifungua meseji iliyoingia kutoka kwa yule mwanamke, nikashtuka kugundua kwamba alikuwa ametoa shilingi laki moja badala ya milioni moja niliyomkabidhi yeye na mume wake.

 

Nilishtuka sana na kurudia kuitazama vizuri meseji ile, nikidhani labda niliisoma vibaya, ni hapo ndipo nilipogundua kwamba nilikuwa nimeibiwa. Nilijaribu kumpigia simu yake ya mkononi iliyotumika kutoa zile fedha lakini muda huohuo simu ikawa haipatikani.

 

Ilibidi nifunge ofisi haraka na kuanza kumtafuta yule mwanamke na mumewe, nikaenda mpaka kwenye magari yaliyokuwa yanaelekea Iringa, nikaingia kwenye baso moja baada ya jingine, sikumuona yule mwanamke wala mumewe, nikazidi kuchanganyikiwa, sikutaka kuamini kama naweza kutapeliwa kirahisi namna ile.

 

Nilirudi ofisini kwangu ma kuwaambia wenzangu, kila mtu akawa anashangaa, wakawa wananipa pole na kujaribu kunituliza kwani nilikuwa nimechanganyikiwa mno. Ni hapo ndipo jirani yangu mmoja aliponieleza kwamba kuna daktari mmoja maarufu kutoka nchini Kenya, huwa anasaidia matatizo kama hayo pamoja na kutibu magonjwa mbalimbali kwa njia za asili.

 

Aliniambia anaiywa Dokta Kiwanga na namba yake ni +254 769404965, harakaharaka nikampigia na kumueleza matatizo yangu. Alinitoa wasiwasi na kunihakikishia kwamba wale matapeli watarudisha wenyewe fedha hizo ndani ya saa ishirini na nne, akanipa maelekezo ya nini cha kufanya na kunitajia gharama za huduma hiyo ambayo niliona ni nafuu sana.

 

Ilibidi nikope fedha kwa jirani yangu mmoja, muda mfupi baadaye nikamtumia Dokta Kiwanga fedha tulizokubaliana, sasa nikawa nasubiri hizo saa ishirini na nne alizoniambia zipite.

 

Huwezi kuamini, baada ya kupita saa tatu tangu nilipotapeliwa, yule mwanamke na mumewe, walijileta wenyewe pale ofisini kwangu, yule mwanamke akawa ananiomba msamaha akisema eti alikosea kutoa fedha, badala ya milioni moja akaandika shilingi laki moja, kwa kweli sikuamini macho yangu. Akatoa shilingi laki tisa zilizokuwa zimebakia na kuniongeza nyingine kwa ajili ya usumbufu.

 

Ni hapo ndipo nilipogundua kwamba kumbe kweli Dokta Kiwanga ni mtaalam wa kweli ambaye habahatishi mambo yake. Nilimpigia simu kumshukuru, akaniambia pia anatibu matatizo mengine kama kupata mtoto, kutibu matatizo mbalimbali ya ndoa na kusafisha nyota.

Unaweza kuwasiliana nao kwa namba +254 769404965 au tembelea website yao www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

Leave A Reply