The House of Favourite Newspapers

Nmb Bima Marathon Yanukia, Kuanzia Mliman City

0

 

Benki ya NMB, imetangaza wadau mbalimbali wa michezo kushiriki katika Mbio za Nmb Bima Marathon zinazotarajiwa kufanyika Septemba 12, 2020,  jijini Dar es Salaam, ambapo mapato yatakayopatikana kupitia mbio za 5km yanatarajia kutumika kusaidia watoto wanye matatizo ya Kansa.

 

Usiwe na shaka, kama ulishajisajili mwezi Machi bado unaweza kutumia tiketi ile ile Septemba 12 kukimbia katika mbio za NMB Bima Marathon zitakazoanzia Mlimani city.

Aidha  mbio hizo za NMB Bima Marathon zitasindikizwa na burudani zilizosheheni mambo mapya na mazuri kibao. Karibu ujisajili ndani ya Mlimani City karibu na KFC, sasa! #TuchapeMwendo #NMBBimaMarathon
Usajili unaendelea, fika Palm Village(Mikocheni) maduka ya Viki. Pia usajili unaendelea online.
Leave A Reply