The House of Favourite Newspapers

NOMA! JK Comedian ni MAGUFULI Mtupu, Alichokifanya Utashangaa! – VIDEO

Ukisikia mtu anasema kuwa duniani kuna vipaji vya kuzaliwa na bado ukawa huamini basi tazama video hii ya JK Comedian akiigiza sauti za watu mashuhuri mbalimbali akiwemo Rais Magufuli, Jakaya Kikwete na wengine wengi.

JK ameigiza sauti hizo kwenye uzinduzi wa Chekelea Stand Up Comedy uliofanyika katika ukumbi wa Kebbys Mwenge jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi wa serikali akiwemo Naibu Waziri wa Sanaa, Juliana Shonza, Katibu Mkuu wa Basata Godfrey Mngereza pamoja na wasanii wengine wa vichekesho na filamu nchini.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO


Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.