The House of Favourite Newspapers

Nusu ya Wanaume Nchini Uingereza Hawafui na Kutandika Mashuka

0
Kitanda kikiwa hakijatandikwa

UTAFITI uliofanywa na Shirika la Utafiti la Bedding Company la nchini uinereza umegundua kuwa zaidi ya nusu ya wanaume nchini humo hawafui na kutandika mashuka yako hadi kufikia kipindi cha miezi minne.

 

Kwa mujibu wa takwimu kutoka Bedding Company zinadai asilimia 12 ya watu waliohojiwa wamekiri kuwa kufua kwao mashukana kutandika ni hadi pale watakapokumbuka jambo linalotia wasiwasi huenda ikawa ni kipindi kirefu zaidi cha zaidi ya miezi iyo minne.

Wanaume nchini Uingereza hawatandiki wala kufua mashuka hadi kufikia kipindi cha miezi minne

 

Wanawake ambao hawajaolewa (Single women) wanafua na kubadili mara kwa mara, takwimu zinadai asilimia 62 wanafua na kutandika vitanda vyao kila baada ya wiki mbili, na wale ambao wapo kwenye mahusiano wanafanya hivyo kila baada ya wiki tatu.

 

 

 

 

Leave A Reply