The House of Favourite Newspapers

NYUMBA YA MAPADRE YATEKETEA KWA MOTO SEGEREA – VIDEO

Nyumba ya Mapadre wa Kanisa Katoliki katika Seminari Kuu ya Segerea inadaiwa kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.

Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha moto huo na athari yake tutakuletea, endelea kufuatilia mitandao yetu muda wote.

Comments are closed.