The House of Favourite Newspapers

Odama akata kilo kumi mwilini

0

OdamaAkipozi.jpgNa Imelda Mtema

STAA wa Bongo Muvi, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ameondoa ubonge nyanya kwa kupunguza kilo kumi mwilini mwake. Kabla ya kupunguza uzito huo kwa kufanya mazoezi maalum, alikuwa na kilo 73 amepungua na kubaki na kilo 63.

“Yaani acha tu, nimejitahidi sana kujinyima, kufanya mazoezi ili tu kuepukana na uzee wa kujitakia na sasa hivi nashukuru Mungu nimeweza kupunguza kilo kumi siyo mchezo kabisa na bado niondoe tena tano hapo roho yangu itakuwa vizuri zaidi,” alisema Odama.

Leave A Reply