×

Hamisa Aunguka “Endeleeni Kubana Pua Mkinisema Vibaya Mapambano Yanaendelea!”

  HAMISA Hassan Mobeto; ni mmoja wa wanawake warembo na mastaa nchini Tanzania. Wiki iliyopita, mbali na Kajala Masanja kukubali...

READ MORE

Mkali wa Hip Hop, Young Lunya Asaini Dili na Lebo ya Sony Music Entertainment Africa

  MKALI anayekua kwa kasi kwenye soko la muziki wa Hip Hop Afrika Mashariki, Young Lunya, amesainiwa rasmi na lebo...

READ MORE

Watu Tisa Wakamatwa na Viungo vya Binadamu Mkoani Kigoma

JESHI LA POLISI mkoani Kigoma imewatia mbaroni watu tisa wakituhumiwa kujihusisha na usafirishaji na uuzaji wa viungo vinavyohisiwa kuwa ni...

READ MORE

Klabu ya Yanga Yatangaza Tarehe Rasmi ya Uchaguzi Mkuu (PICHA+VIDEO)

KLABU ya Soka ya Yanga kupitia kwa Mwenyekiti wake wa Kamati ya Uchaguzi Malangwe Ally Mchungahela imetangaza tarehe rasmi ya...

READ MORE

Mahakama Yawachia Huru Washtakiwa Watano Akiwamo Mkurugenzi wa Udart, Kisena

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewachia huru washtakiwa watano akiwamo Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Usafirishaji wa Mabasi yaendayo...

READ MORE

Horoya AC, Raja Casablanca na Amazulu Zamgombea Pablo Wampa Ofa Babu Kubwa

  HOROYA AC ya Guinea, imeweka ofa nzuri kumpata aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania ambaye...

READ MORE

Shilole Amlilia Rais Samia Ataka Sheria Mpya Mauaji ya Wanawake

SHILOLE au Shishi Baby; ni mwanamama anayefanya Bongo Fleva na mjasiriamali ambaye kuhusu kukithiri kwa mauaji ya wapenzi hasa wanawake,...

READ MORE

Inatisha! Mtoto (7) Abakwa na Kunyongwa na Mjomba, Baba wa Marehemu Aelezeau… -Video

 BINTI wa miaka 7 akutwa amebakwa na kuuawa kwa kunyongwa na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ngosha, uchunguzi...

READ MORE

LeBron James Aweka Rekodi ya Kuwa Bilionea wa Kwanza Anayecheza Kikapu

MCHEZAJI wa Kikapu kutoka Timu ya Los Angeles Lakers na mshindi mara nne wa Ligi ya NBA LeBron James ameweka...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yashirikiana na Samaki Samaki Kuwazawadia Wateja

    Dar es Salaam, 3 Juni 2022. Vodacom Tanzania Plc, kampuni inayoongoza kwa huduma za teknolojia na mawasiliano nchini,...

READ MORE

TMA Yatoa Tahadhari ya Upepo Mkali kwa Siku Tano, Lindi, Mtwara, Tanga, Dar na Pwani

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) leo imetoa tahadhari ya upepo mkali unaotarajiwa kutokea kwenye siku tano zijazo katika...

READ MORE

Baba, Mama, Mtoto Wapata Ulemavu, Baba Asimulia Alivyokatwa Mguu – Video

 Familia ya Mzee Edimundi Malya (63) Mkazi wa Buza Jijini Dar es Salaam ambayo imejikuta katika majonzi mazito baada...

READ MORE

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky Afunguka Urusi Kuteka 20% ya Nchi Yake

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema kuwa vikosi vya Urusi vimeteka 20% ya eneo la nchi yake, wakati uvamizi wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nape: Kampuni za Simu Acheni Kutuma Ujumbe Ambao Mteja Hajaomba, Hii tabia Ikome

  Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia...

READ MORE

NBC Yatoa Gawio la Tsh Bil 4.5 kwa Serikali

Dodom, 3 Juni, 2022 – Waziri wa Fedha na Mipango Dokta Mwigulu Nchemba amepokea gawio la shilingi bilioni 4.5 linalotokana na uwekezaji wa Serikali...

READ MORE

Nafasi za Kazi 3 National Audit Office (NAOT), Fani ya Uchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta II

POST FANI YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA KOMPYUTA II (COMPUTER SYSTEM ANALYSIS) – 3 POST EMPLOYER National Audit Office (NAOT)...

READ MORE

UVCCM: Asante kwa Kazi Kubwa Rais Samia, Piga Kazi Mama

Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM limeaziamia kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...

READ MORE

Makamu wa Rais Ashiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa Nchini Sweden

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 2 Juni 2022 ameshiriki...

READ MORE

Serikali Kuandaa Kanuni za Udhibiti wa Bei ya Dawa na Vifaa Tiba

SERIKALI ipo mbioni kuandaa kanuni za kudhibiti bei za dawa nchini na tayari rasimu ya kanuni hizo zimeshawasilishwa kwa Mwanasheria...

READ MORE