×

Kijana Apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma ya Kumbaka Aliyemuahidi Kumuoa

MAHAKAMA ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imemsomea shtaka la ubakaji kijana Faison Alimajani Sanga (19) mkazi wa kijiji cha...

READ MORE

Rais Samia Kupokea Kombe la Dunia la FIFA, Dkt Abbas Asema Taifa Limeheshimishwa

TANZANIA imechaguliwa kuwa miongoni mwa nchi chache za Afrika ambako Kombe halisi la Dunia la FIFA linalotolewaa kwa nchi zinazoshinda...

READ MORE

Amref Yasisitiza Umuhimu wa Kupata Chanjo Ya Uviko-19

MKURUGENZI MKUU  wa Program ya  Kudhibiti na kuzuia magonjwa Amref Health Africa Tanzania Dkt.Rita Mutayoba amesema kuwa  Tanzania kwa ufadhili...

READ MORE

DC Gondwe Asisitiza Usafi Kinondoni ni Kila Siku na Ada ya Usafi ni kwa Kila Familia

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe ameongoza kwa mfano katika zoezi la usafi lililofanika maeneo ya Kata ya Wazo,...

READ MORE

Mtendaji Atuhumiwa Kumiliki Genge la Uhalifu, Wananchi Wataka Kuteketeza Familia Yake

MTENDAJI wa Kijiji cha Idunda Kata ya Yakobi mjini Njombe Otimali Mbangala maarufu kwa jina la Mtendaji wa Tanzania ameibuka...

READ MORE

Kansela wa Ujerumani Azomewa kwa Kushindwa Kutoa Msaada Nchini Ukraine

KANSELA wa Ujerumani Olaf Scholz amekutwa katika hali ya mshangao baada ya kuzomewa na wananchi wa mji wa Dusseldorf kutokana...

READ MORE

Trump: Acheni Kutoa Misaada Ukraine, Angalieni Usalama wa Wanafunzi Wetu Kwanza

RAIS wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema Marekani lazima iachane na matumizi ya pesa yasiyokuwa ya lazima ya kuisaidia...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Enabel, Regional Project Cordinator

Category:  National Location:  Pemba Islands, Tanzania, United Republic of Reference:  18182 Final date for application:  Regional Project Cordinator (m/f/) –...

READ MORE

NMB Yapiga Tafu Milioni 20 Kinara wa Ubunifu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

  Benki ya NMB imekabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 20 kwa kinara wa Ubunifu kutoka Chuo...

READ MORE

DC Muro Aongoza Waombolezaji Kumzika Mtoto Aliyeuawa na Tembo

MKUU wa Wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry C. Muro leo Tarehe 27/05/2022 amewaongoza mamia ya wananchi wa kata ya Ntuntu...

READ MORE

Wanawake 16 Jijini Dar Wakamatwa kwa Kufanya Matendo ya Ngono kwa Kutumia Vifaa Hatarishi

UCHUNGUZI uliofanywa na Vyombo vya Dola umebaini kuibuka kwa baadhi ya wanawake wanaofundishana kufanya matendo ya ngono kwa kutumia vifaa...

READ MORE

Kocha Pablo Afunguka Hali ya Kikosi cha Simba Kuelekea Kuwakabili Yanga CCM Kirumba

KOCHA Mkuu wa Simba Sc, Pablo Franco amesema kikosi chake kipo katika hali nzuri kuelekea mchezo wa Nusu Fainali ya...

READ MORE

Mkoa wa Tabora Kuanza Kunufaika na Huduma za Ct Scan- Prof. Makubi

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amesema hospitali ya rufaa ya Kitete kuanza huduma za CT Scan hivi...

READ MORE

Ali Kiba: Usafi ni Lazima na Tabata ni Nyumbani, Tumuunge Mkono RC Makalla

MSANII wa Bongo Fleva Ali Kiba maarufu kama King Kiba leo Mei 27, 2022 ameongea na waandishi wa habari akiwa...

READ MORE

Rais Samia Ahudhuria Swala ya Ijumaa Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Mei akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCM Awasili Shinyanga kwa Ziara ya Kikazi ya Siku 9

KATIBU MKUU wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Daniel Chongolo, Ametoa Salam za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...

READ MORE

Tunzaa Yaja na Fursa Mpya ya Kidigitali kwa Wafanyabiashara Nchini, Pakua App Yao Sasa

Wauzaji wa bidhaa wakubwa na wakati hapa nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya jukwaa la kidigitali linalokuwa kwa kasi na lenye...

READ MORE

Sadio Mane Kuaga Liverpool, Baada ya Fainali ya Uefa?

  RIPOTI kutoka nchini Ujerumani zinadai kuwa Sadio Mane atawaaga wachezaji wenzake wa Liverpool baada ya mchezo wa fainali ya...

READ MORE