×

Vodacom M-Pesa Yazindua Huduma ya Malipo ya Kimataifa

Vodacom M-Pesa Yazindua Huduma ya Malipo ya Kimataifa Popote Ulimwenguni! Kuleta mapinduzi katika biashara na urahisi wa malipo kwa wateja...

READ MORE

Video: Jeshi la Polisi Laanza Uchunguzi Dhidi ya Kauli ya OCD Chunya

Jeshi la Polisi Tanzania limesema linafanya uchunguzi kuhusu taarifa inayoenea kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutolewa na Mkuu wa Polisi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 27, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

TFF Yaahirisha Tuzo za Msimu 2024/25, Tarehe Mpya Yasubiriwa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuahirisha hafla ya utoaji wa Tuzo za Msimu wa 2024/2025 ambayo ilipangwa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Ahimiza Haki kwa Watanzania, Afungua Maadhimisho Ya Wiki Ya Usafiri Endelevu Ardhini

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 26, 2025 amefungua Maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini Mwaka 2025 yanayofanyika...

READ MORE

Vikosi Vikubwa Barani Ulaya Vitakutana London Leo Usiku

Vikosi viwili vyenye kiwango bora zaidi barani Ulaya vitachuana usiku wa kesho jumatano tarehe 26 kwenye Ligi ya Mabingwa Ndani...

READ MORE

Usiku wa Ulaya Umefika, Beti UEFA leo na ushinde zaidi na Meridianbet

Hatimaye baada ya kusubiri kwa hamu kabisa Usiku wa Ulaya umerejea kwa kishindo na safari hii ni mechi kali kabisa...

READ MORE

Mfanyabiashara Chipukizi Pedima Ang’ara Katika Ubunifu na Uongozi

Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yazindua Msimu wa Sikukuu: Yagawa Makapu 600

Dar es Salaam, Tanzania – 26 Novemba 2025: Vodacom Tanzania PLC leo imezindua msimu wa sikukuu kama kipindi cha kusherehekea...

READ MORE

Waziri Simbachawene Atembelea Vituo Vya Polisi Vilivyochomwa Moto Oktoba 29 Dar

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amewasihi wananchi kudumisha amani na kushirikiana na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Simba Kuondoka Alfajiri Novemba 27 Kwenda Mali kwa Mchezo wa Ligi ya Mabingwa

Klabu ya Simba inatarajiwa kuanza safari yake alfajiri ya Alhamisi, Novemba 27, kuelekea nchini Mali kwa ajili ya mchezo wao...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yarejesha Furaha Kwa Jamii Dodoma

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (wa pili kushoto), akikabidhi kapu la zawadi kwa Rehema...

READ MORE

Naga Games Kuwa Mlango Mpya Wa Ushindi Ndani Ya Meridianbet

Meridianbet inaendelea kutunisha misuli yake na awamu hii imepiga hatua nyingine kubwa kwa kukuletea Naga Games, mtoa huduma mpya anayekupa...

READ MORE

Trump Atangaza Ziara ya Beijing Baada ya Mazungumzo na Rais Xi Jinping

Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba anakubali kutembelea Beijing mwezi Aprili, na pia kumwalika Rais wa China, Xi Jinping,...

READ MORE

Niffer na Mika Chavala Warudishwa Gerezani, Kesi yao Kutajwa Desemba 3

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) ameondoa mashtaka dhidi ya washtakiwa 20 waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la uhaini katika Mahakama ya...

READ MORE

Wafanyabiashara Wakubwa Toka Korea Waja na Fursa za Biashara Kwa Bidhaa za Made in Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeratibu na kushiriki kongamano la Biashara baina ya Makampuni ya Tanzania na Waagizaji...

READ MORE

Kilombero Sugar Yashirikiana na Upendo Ifakara Bakary Katika Mpango wa Free Bread Kusaidia Jamii

Kampuni ya Sukari Kilombero imeingia katika ushirikiano wa miaka mitatu na Ifakara Bakery na Mpango wa Free Bread Fund, kwa...

READ MORE

PM Mwigulu Atoa Takwimu Zilizotikisa Taifa Baada ya Vurugu Oktoba 29 – Video

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 25, 2025 amesema kiwango cha uharibifu kilichotokea katika maeneo mbalimbali nchini haikubaliki na...

READ MORE

Msando: Serikali Haina Ajenda ya Siri Dhidi ya Askofu Gwajima – Video

Serikali imesisitiza kuwa hakuna mtego wala mpango wowote wa kumkamata Askofu Dkt. Josephat Gwajima kufuatia hatua ya kufunguliwa kwa Kanisa...

READ MORE

Mwanamke Aliyedhaniwa Amefariki Azinduka Ndani ya Jeneza Thailand

Mwanamke mmoja nchini Thailand aliwashangaza na kuwaogopesha wafanyakazi wa hekalu baada ya kuanza kusogea akiwa ndani ya jeneza lake akiwa...

READ MORE