×

Nafasi ya kazi TCAA, ICT officer

POST ICT OFFICER II – INFORMATION SYSTEMS AUDITOR (RE-ADVERTISED) – 1 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER Tanzania Civil...

READ MORE

Al Ahly Yatwaa Ubingwa wa 10 Afrika

MABINGWA watetezi wa Klabu Bingwa barani Afrika jana usiku Julai 17, wamefanikiwa kutetea ubingwa wa ligi hiyo baada ya kuishushia...

READ MORE

John Bocco: Simba SC wananidai makombe matatu

MSHAMBULIAJI na Nahodha wa Simba, John Bocco, ameweka wazi kuwa licha ya kufanikiwa kutwaa makombe manne mfululizo ya Ligi Kuu...

READ MORE

Video: Askofu Mwamakula Akamatwa, P Diddy Ashangaza Watu – Soul Food

 LEO Jumapili Julai 18, 2021 kwenye kipindi Cha Soulfood kimezungumzia Askofu Mwamakula kukamatwa, P Diddy kushangaza watu kuanzisha huduma....

READ MORE

Mjane wa Rais Aliyeuawa Arejea Haiti

  MJANE wa rais aliyeuawa Haiti, Jovenel Moise amerudi nyumbani baada ya kutibiwa majeraha aliyoyapata katika shambulio. Waziri wa mawasiliano...

READ MORE

Ujenzi wa Majengo Mapya ya Chuo Cha Ualimu Kabanga Kuendelea Kuboresha Mazingira ya Utoaji Elimu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Isdor Mpango amesema ujenzi wa majengo mapya ya Chuo...

READ MORE

Biashara Kufanya Usajili wa Kibabe CAF

BIASHARA United imesema kuwa, kuelekea michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyo chini ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), imepanga...

READ MORE

Mpango Awataka Watanzania Kuombea Viongozi, Taifa

MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na mkewe Bi. Mbonimpawe Mpango hii leo Julai 18,2021 wameshiriki katika Ibada...

READ MORE

Mwisho wa Ubishi Ligu Kuu ni Leo, Mechi Tisa Kutikisa

LIGI Kuu Bara msimu wa 2020/21, inahitimishwa leo Jumapili kwa kuchezwa mechi tisa katika viwanja tofauti, huku vita kubwa ikiwa...

READ MORE

Mauaji Sinza: Mfanyabiashara Ampiga Risasi Mwenzake – Video

 Wengi wetu tumeona video na picha zilizosambaa za tukio la mtu kupigwa risasi akiwa Baa Sinza kwa Remi Dar...

READ MORE

Simba Yashikwa Pabaya na Yanga

KUELEKEA fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam itakayopigwa Julai 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, kasi...

READ MORE

Lingard Kutimkia Atletico

MSHAMBULIAJI wa Manchester United Jesse Lingard anawindwa na timu ya Atletico Madrid, na kuna uwezekano mkubwa timu hiyo ikamuuza.  ...

READ MORE

Mzambia Ampa Ugumu Okwi Kutua Simba

UPO uwezekano mkubwa winga wa Al Ittihad Alexandria ya Misri, Mganda Emmanuel Okwi kutosajiliwa na Simba kwa msimu ujao ikiwa...

READ MORE

Habari Zilizoandikwa Katika Magazeti ya Leo Julai 18, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 18, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Neymar Afunguka Sababu ya Kulia

STAA wa Brazil, Neymar amesema kuwa alimwaga machozi baada ya mchezo wa Copa Amerika kwa kuwa Wabrazili wote walikuwa nyuma...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Shigongo Acharukia Wizi Fedha Serikalini – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amegeuka mbogo kwa kile alichokiita kuwepo kwa baadhi ya watendaji wanaoiba fedha serikali....

READ MORE

Mwanza: Askofu Mwamakula, Lwaitama na Wengine 127 Watiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 128, akiwemo Askofu Emmaus Mwamakula, Dkt. Lwaitama pamoja na baadhi ya viongozi wa...

READ MORE

Makamu wa Rais Azungumza na Wanakijiji Alipozaliwa Kigoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Julai 17, 2021 amewatembelea na...

READ MORE

Watu 212 Wauawa Kwenye Ghasia Afrika Kusini

IDADI ya waliokufa kutokana na ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia watu 212 kutoka vifo 117 vilivyoripotiwa siku...

READ MORE