×

Mwanza: Wamiliki 736 wa Ardhi Wafikishwa Mahakamani

  WAMILIKI 736 mkoani Mwanza ambao ni wadaiwa sugu wa kodi ya aridhi wamefikishwa katika Baraza la Mahakama ya Ardhi...

READ MORE

Sheria za TZ Zaanza kutafsiriwa kwa Kiswahili

Wataalamu wa #Sheria kutoka Taasisi mbalimbali wakiongozwa na Wanasheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wameanza kazi ya kutafsiri Sheria...

READ MORE

RC Chalamila: Rais Magufuli Haumwi, Nimeongea Naye – Video

MKUU wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema amempigia simu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe...

READ MORE

Nafasi za Kazi Tatu Salvation Army, Project coordinators

Project coordinators – 3 Posts The Salvation Army has been operating in Tanzania for over 80 years. At present, there...

READ MORE

Majaliwa: Rais Magufuli Yuko Imara – Video

Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, leo Ijumaa, Machi 12, 2021, amewataka Watanzania wote wawapuuze wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki...

READ MORE

Penati ya Mugalu Yaua Shabiki wa Simba Ruvuma

Shabiki wa Simba, Ally Rashidi Kuntika (71) mkazi wa Namtumbo mkoani Ruvuma alidondoka ghafla na kufariki dunia papohapo, baada ya...

READ MORE

Manchester United Kukiwasha na West Ham United Jumapili

Zikiwa imesalia michezo 10 tu kabla ya msimu huu wa EPL kumalizika, kila timu inajitutumua kuhakikisha inamaliza msimu katika nafasi...

READ MORE

Nafasi za Kazi: Letshego / Faidika, Relationship Officer-Private Payroll

Job Title: Relationship Officer-Private Payroll Reports To: Private Payroll Manager Purpose of the Job: The relationship officer shall execute day-to-day...

READ MORE

Kiwanda cha Kinamama wa Sengerema ‘Serikali Mikono Yetu’

  AHADI mojawapo ya kiserikali ambayo inatekelezwa hadi sasa, ni kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wajasiriamali, yatakayowasaidia kuendesha viwanda,...

READ MORE

Tanzia: Aliyevumbua Kaseti Afariki Dunia

INJINIA wa Uholanzi, Lou Ottens, aliyesifika kwa kubuni kaseti ya sauti, amefariki akiwa na umri wa miaka 94. Inakadiriwa kuwa...

READ MORE

Karia Ajitoa Kugombea Ujumbe FIFA

RAIS wa TFF Wallace Karia amethibitisha kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha kugombea Ujumbe wa Baraza la FIFA kuwakilisha nchi zinazozungumza lugha...

READ MORE

Afungwa Siku Moja kwa Kumuua Mume Wake

MAHAKAMA nchini Kenya imemhukumu kifungo cha siku moja mwanamke aliyemuua mume wake mwaka mmoja uliopita, Kwa mujibu wa gazeti la...

READ MORE

Sakata la Gigy Money, Eric Omondi Akamatwa na Polisi

Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Ukaguzi Filamu nchini Kenya (KFCB), Dkt Ezekiel Mutua, ametangaza kwamba mchekeshaji Eric Omondi, amekamatwa...

READ MORE

Rais Kagame, Mkewe Wachanjwa Kinga ya Covid19

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame na mkewe Jeannette Kagame wamepokea chanjo ya corona katika Hospitali ya Mfalme Faisal jana Alhamisi,...

READ MORE

RC Mongela: Achaneni na Miongozo ya Kijinga

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amewataka watendaji wa halmashauri kuacha kufuata miongozo ya wizara badala yake waangalie uhitaji...

READ MORE

Muuguzi Afukuzwa Kazi kwa Kubaka Mwanafunzi

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa Tabora, limeazimia kufukuzwa kazi aliyekuwa Muuguzi wa zahanati ya Kalunde, Elipidius Kweyamba, baada...

READ MORE

Denmark Yasitisha Chanjo ya Covid 19

NCHI ya Denmark,  imesitisha utoaji wa chanjo ya Oxford-AstraZeneca kwa muda wa wiki mbili ili kuchunguza ripoti za baadhi ya...

READ MORE

Kaze, Vladimir Kurejea Burundi Kesho

INAELEZWA aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze na kocha wa makipa wa timu hiyo, Vladimir Niyonkuru wanatarajia kuondoka nchini...

READ MORE

Kijana: Nilizaliwa Bila Mikono Wala Miguu, Niliongea Siku Hiyo Hiyo – Video

KATIKA kipindi cha ‘GLOBAL JAMII’ wiki hii tumefanya mahojiano na kijana, Abdul Urio, ambaye ni mkazi wa Mbezi jijini Dar,...

READ MORE

Wezi Wapuliza Dawa ya Usingizi, Wawaibia Wafiwa

JESHI la Polisi mkoani Pwani wamekamata vifaa mbalimbali vilivyoibiwa katika msiba eneo la Mlandizi, Kibaha mkoani humo.     Akizungumza...

READ MORE