×

Kiwanda cha Kinamama wa Sengerema ‘Serikali Mikono Yetu’

  AHADI mojawapo ya kiserikali ambayo inatekelezwa hadi sasa, ni kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wajasiriamali, yatakayowasaidia kuendesha viwanda,...

READ MORE

Tanzia: Aliyevumbua Kaseti Afariki Dunia

INJINIA wa Uholanzi, Lou Ottens, aliyesifika kwa kubuni kaseti ya sauti, amefariki akiwa na umri wa miaka 94. Inakadiriwa kuwa...

READ MORE

Karia Ajitoa Kugombea Ujumbe FIFA

RAIS wa TFF Wallace Karia amethibitisha kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha kugombea Ujumbe wa Baraza la FIFA kuwakilisha nchi zinazozungumza lugha...

READ MORE

Afungwa Siku Moja kwa Kumuua Mume Wake

MAHAKAMA nchini Kenya imemhukumu kifungo cha siku moja mwanamke aliyemuua mume wake mwaka mmoja uliopita, Kwa mujibu wa gazeti la...

READ MORE

Sakata la Gigy Money, Eric Omondi Akamatwa na Polisi

Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Ukaguzi Filamu nchini Kenya (KFCB), Dkt Ezekiel Mutua, ametangaza kwamba mchekeshaji Eric Omondi, amekamatwa...

READ MORE

Rais Kagame, Mkewe Wachanjwa Kinga ya Covid19

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame na mkewe Jeannette Kagame wamepokea chanjo ya corona katika Hospitali ya Mfalme Faisal jana Alhamisi,...

READ MORE

RC Mongela: Achaneni na Miongozo ya Kijinga

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amewataka watendaji wa halmashauri kuacha kufuata miongozo ya wizara badala yake waangalie uhitaji...

READ MORE

Muuguzi Afukuzwa Kazi kwa Kubaka Mwanafunzi

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa Tabora, limeazimia kufukuzwa kazi aliyekuwa Muuguzi wa zahanati ya Kalunde, Elipidius Kweyamba, baada...

READ MORE

Denmark Yasitisha Chanjo ya Covid 19

NCHI ya Denmark,  imesitisha utoaji wa chanjo ya Oxford-AstraZeneca kwa muda wa wiki mbili ili kuchunguza ripoti za baadhi ya...

READ MORE

Kaze, Vladimir Kurejea Burundi Kesho

INAELEZWA aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze na kocha wa makipa wa timu hiyo, Vladimir Niyonkuru wanatarajia kuondoka nchini...

READ MORE

Kijana: Nilizaliwa Bila Mikono Wala Miguu, Niliongea Siku Hiyo Hiyo – Video

KATIKA kipindi cha ‘GLOBAL JAMII’ wiki hii tumefanya mahojiano na kijana, Abdul Urio, ambaye ni mkazi wa Mbezi jijini Dar,...

READ MORE

Wezi Wapuliza Dawa ya Usingizi, Wawaibia Wafiwa

JESHI la Polisi mkoani Pwani wamekamata vifaa mbalimbali vilivyoibiwa katika msiba eneo la Mlandizi, Kibaha mkoani humo.     Akizungumza...

READ MORE

Sakata Kusafirisha Vinyonga, Nyoka Mapya Yaibuka

SERIKALI inawashikilia Watanzania watatu kwa tuhuma za kushirikiana na raia wa Jamhuri wa Czech kusafirisha nje ya nchi vinyonga 74...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 12, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 12, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

ipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Waziri Bashungwa Akutana na Uongozi wa TBC Kujadili Maendeleo ya Shirika hilo

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa, na Naibu wake Mhe. Abdallah Ulega, jana Machi 11,...

READ MORE

Mwanadada Afurahia Kumiliki Pikipiki!

Washindi wa Pikipiki za miguu mitatu aina ya Lifan Cargo wa Droo ya kwanza ya Kampeni ya Weka Pesa na...

READ MORE

Mwigulu: Kiongozi wa Nchi Sio Parish Worker

WATANZANIA wametakiwa kuacha kuibua taharuki kwa kuzusha taarifa za uongo ambazo hazina uthibitisho kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha...

READ MORE

Usiku wa Anjella: Wasanii Wavamia Jukwaa la Harmonize – Video

USIKU wa Machi 12, First Lady wa Konde Gang, Anjella, amekaribishwa rasmi kwenye lebo ya Konde Gang kwa kufanyiwa Party...

READ MORE

Raila Odinga Awatoa Hofu Wakenya “Niko Fiti”

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema hali yake ni nzuri na anafuata ushauri wa madaktari kwa kupumzika.  ...

READ MORE