×

Trump Apata Pigo Jingine Georgia

Mgombea wa wa chama cha Democratic Raphael Warnock ameibuka mshindi katika uchaguzi wa maseneta dhidi ya mgombea wa chama cha...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamke Anayemnyima Idris Usingizi

NI mshindi wa Big Brother Africa mwaka 2014. Ni mchekeshaji. Ni mtangazaji. Ni mshereheshaji (MC). Huyu si mwingine ni Idriss...

READ MORE

Mzee Chilo Aanika Sababu ya Vijana Kuwabwaga Wakongwe

MWIGIZAJI mkongwe kwenye tasnia ya Bongo Movies, Ahmed Ulotu almaarufu Mzee Chilo amefunguka sababu ya chipukizi kuwabwaga mastaa wakubwa kwenye...

READ MORE

Wanaume Wamfanyia Mbaya Wasatara

MWIGIZAJI wa kitambo kwenye Bongo Movies, Wastara Juma amekiri wanaume kumfanyia mbaya. Wastara anasema kuwa, wanaume wengi wanapenda kumuumiza kutokana...

READ MORE

Uchaguzi Uganda: Museveni Ateua Mwanajeshi Kusimamia Usalama

Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni, ameamua kumteua Brigedia Kayanja Muhanga, kusimamia masuala ya usalama wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu nchini...

READ MORE

Wananchi Wafichua Manyanyaso ya Watumishi Kituo cha Afya Mwangika – Video

WANANCHI wa Kijiji cha Mwangika, Kata ya Bangwe, Jimbo la Buchosa, Mwanza, wamewalalamikia watumishi wa Kituo cha Afya Mwangika kwa...

READ MORE

Makubwa! Eti Zari Amweka Mama D Kiganjani

SUPASTAA wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anaringa mwenyewe na watoto wake wane aliozaa na wanawake watatu tofauti...

READ MORE

Zuchu Aanza Maajabu Yake!

  MAPEMA tu, ameanza maajabu yake! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo anayefanya muziki wa Bongo Fleva, Zuhura Othman ‘Zuchu’ kuanza...

READ MORE

Mbadala wa Mkude Apata Majanga Simba

IMEFAHAMIKA kuwa kiungo mkabaji wa Simba raia wa Uganda, Taddeo Lwanga, hataonekana uwanjani akivalia jezi nyekundu na nyeupe kutokana na...

READ MORE

Sheikh Mkuu Aomba Waumini Dini Zote Kuchangia Ujenzi wa Msikiti

SHEIKH Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, Abdul Mpakate amewaomba waumini wa dini ya kiislamu na raia wote wenye...

READ MORE

Dr Dre Atoka ICU, Mke Atajwa Chanzo cha Ugonjwa

MTAYARISHAJI wa muziki wa Marekani na rapa wa miondoko ya Hip Hop, Andre Romelle  Young, maarufu kama ‘Dr. Dre’, ameruhusiwa...

READ MORE

Pacha wa Saido Apelekwa Zenji Kwa Ndege

MAMBO yamenoga upya juu ya usajili wa straika mpya wa Yanga, raia wa Congo Ferebory Dore, anayetajwa kama pacha wa...

READ MORE

Kiba Aanika Ukweli Kuachamuziki

BAADA ya maneno mengi kusambaa mitandaoni kuwa Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ yupo mbioni kuacha muziki,...

READ MORE

VIDEO: Simba Sc Vs Fc Platinum, Kitakachowapa Ushindi Simba Leo ni Hiki

GLOBAL TV imefanya mahojiano na mchambuzi wa soka, kuelekea mtanange wa kukata na shoka kati ya SIMBA SC vs FC...

READ MORE

Tuzo za Grammy Zaahirishwa

TUZO za Grammy za mwaka 2021 hazitafanyika tena mwezi huu huko Los Angeles, California, na badala yake zitatangazwa mwezi Machi...

READ MORE

Ajiua kwa Kunywa Sumu, Kisa Mumewe Kutoka Jela

JESCA SAMSON  (37) mkazi wa mtaa wa Katoma, Kayanga wilayani Karagwe mkoani Bukoba, anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu ya panya...

READ MORE

Magazeti ya Championi, SportXtra Yagawa Tiketi Mechi ya Simba vs Platnum

  Timu ya Masoko kutoka Kampuni ya Global Group kupitia magazeti ya Championi na spotiXtra imeingia mtaani na maeneo ya...

READ MORE

Ndoa ya Kim na Kanye Chali, Wapeana Talaka Tatu!

NDOA ya mastaa wakubwa duniani, rapa Kanye West na mwanamitindo Kim Kardashian imefikia mwisho ambapo wawili hao wameripotiwa kuachana baada...

READ MORE

Mgombea Democrat Ashinda Marudio Useneta Georgia

MGOMBEA useneta wa chama cha Democratic nchini Marekani, Mchungaji Raphael Warnock, ameshinda katika kura za marudio dhidi ya mgombea wa...

READ MORE

Polisi Anaswa Kujiunganishia Umeme, Akutwa na Viroba…

  MKUU wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi, amemkamata polisi ambaye alikuwa akiiba umeme wa TANESCO ambao alijiunganishia kinyume na...

READ MORE