×

LIVE: Mwili wa Mngereza (BASATA) Waagwa Dar

  MWILI wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, umewasili jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Mamilioni Kuikosa WhatsApp Ifikapo Januari Mosi, 2021

  WATUMIAJI wa  mawasiliano ya Whatsapp katika simu za  iPhone 4 au simu za zamani za Android hawataweza kutumia vyema huduma...

READ MORE

Fahamu Majengo 10 Marefu Zaidi Barani Afrika 2020

  HISTORIA ya majengo marefu zaidi barani Afrika ilianza mwaka 1973 kufuatia ujenzi wa jumba refu la Carlton Centers mjini...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Igunga – Video

RAIS  John Magufuli, leo Desemba 28, 2020 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Revocatus...

READ MORE

Mwandishi Aliyeripoti ‘Ukweli’ wa Corona Afungwa Jela Miaka 4

    MWANDISHI wa habari wa China aliyekamatwa kwa ‘kuripoti ukweli’ kuhusu janga la ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona...

READ MORE

Kesi Wanaodaiwa Kuchana Noti 460,000 za BOT Yaahirishwa

KESI inayowakabili watu 13 wakiwemo watumishi wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) na wenzao watano imeshindwa kuendelea katika Mahakama...

READ MORE

Waziri Aipa TCRA Miezi 3 Kushughulikia Vifurushi kwa Wananchi

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameipa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) miezi mitatu kumaliza changamoto...

READ MORE

Sekta ya Mawasiliano ya Simu Ilivyo na Tija Kwa Watanzania

Tanzania imepata bahati kubwa kuwa na sekta ya mawasiliano ya simu ambayo imekuwa ikipanuka kwa kasi kubwa siku hadi siku....

READ MORE

Mlinzi wa Bobi Wine Adaiwa Kufa kwa Kugongwa Gari la Jeshi

RIPOTI za vyombo vya habari nchini Uganda zimesema kuwa, baadhi ya mashahidi wameripoti kwamba mlinzi wa mgombea urais kupitia National...

READ MORE

Ozil Amfuata Ronaldo Juve

Klabu ya Arsenal imempa nafasi kiungo wake Mesut Ozil ya kujiunga na Juventus ya Italia kwenye dirisha dogo la usajili...

READ MORE

Davido, Burna Boy Wachapana Makonde Night Club – Video

MASTAA wawili wakubwa barani Afrika ambao wote ni raia wa Nigeria, Damini Ebunoluwa Ogulu ‘Burna Boy’ na mwenzake David Adedeji...

READ MORE

Wema wa Buguruni Amwaga Machozi “Nampenda Wema, Nikilala Namuota”

KATIKA kipindi cha ‘KATA MBUGA‘ cha Global Radio, leo Desemba 28, imepiga stori na mwanadada anayejiita, Wema Sepetu wa Buguruni,...

READ MORE

Mwili wa Mngereza Wawasili Dar – Video

MWILI  wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, umewasili jijini Dar es Salaam leo...

READ MORE

Sadio Mane Atoa Gundu Anfield

SADIO Mane, nyota wa Klabu ya Liverpool raia wa Senega,l alifikisha bao lake la 6 ndani ya Ligi Kuu England...

READ MORE

Mashine Mpya Yanga Yapania Rekodi

SAIDO Ntibanzokiza, ingizo jipya ndani ya Klabu ya Yanga akitokea nchini Burundi kwa kusaini dili la miaka miwili, amesema kuwa...

READ MORE

Beki Simba: Saido ni Habari Nyingine

BONIFACE Pawasa, beki wa zamani wa Simba, amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Saido Ntibazonkiza ni habari nyingine kwenye soka...

READ MORE

Umafia! Simba Yamalizana na Beki Aliyekubaliana na Yanga

IMEELEZWA kuwa beki wa Klabu ya Polisi Tanzania, Idd Mobby, amemalizana na mabosi wa Simba kwa kusainishwa dili la miaka...

READ MORE

Tabwe: Yanga Wanilipe Fedha Zote, Watajuana na Fifa

NYOTA wa zamani wa Yanga, Amiss Tambwe, amesema kuwa ikiwa timu hiyo haitamlipa fedha zake za usajili pamoja na mshahara...

READ MORE

Mwili wa Mngereza Kuwasili Dar Leo; Ratiba Hii Hapa…

MWILI wa aliykuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE