×

Morrison apata mbabe wake

BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Simba, ambaye alisajiliwa kwa dili la miaka miwili baada ya kumalizana na Yanga, amepata mbabe...

READ MORE

Mbelgiji Simba Afunguka Sababu za Kumtema Mkude

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji, amefunguka chanzo cha kiungo wake mkabaji, Jonas Mkude kutokuwemo kwenye mechi...

READ MORE

Kagere Ndani, Morrison Freshi, Sasa Kazi Kwisha!

HABARI mbaya kwa wapinzani wa Simba kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Plateau United ya Nigeria ni kuwa, straika...

READ MORE

Harmo Kumburuza Wolper Kortini

TUSI la kishari la msanii Jacqueline Wolper Massawe alilomvurumisha mpenzi wake wa zamani Rajabu Abdul Kahali ‘Harmo’ huwenda likamtia matatani,...

READ MORE

Simba SC Watajiwa Bei ya Beki wa Kimataifa

UNAAMBIWA bila shilingi milioni 958 za Kitanzania, Simba haiwezi kumpata beki wa kimataifa wa Burundi anayekipiga nchini Afrika Kusini katika...

READ MORE

FIFA Yamfungia Rais wa CAF Miaka 5

RAIS wa shirikisho la soka barani AfriKa (CAF), Ahmad Ahmad, amefungiwa kutojihusisha na soka  kwa miaka mitano na shirikisho la...

READ MORE

Mwenyekiti, Mtendaji wa kijiji Matatani kwa Ufisadi

WANANCHI wa vitongoji vitano vya Majengo, Nkalango, Mabambasini, Bombani na Kampuni katika Kijiji cha Ibutamisuzi kata ya Mbutu wilayani Igunga...

READ MORE

Rais Mahakamani Akituhumiwa Ufisadi

NICOLAS SARKOZY, rais wa zamani wa #Ufaransa anayetuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi kwenye kampeni za mwaka...

READ MORE

Messi: Nimechoka Kulaumiwa Barca

  MANCHESTER City ni kama wameongezewa nguvu katika mbio zao za kumshawishi Lionel Messi kuhamia kwenye timu yao hiyo, hatua...

READ MORE

EU Yaitaka Marekani Kusitisha Hukumu ya Kifo

JUMUIYA  ya Umoja wa Ulaya (EU) imetoa wito kwa Serikali ya Marekani kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo iliyoanza kutekelezwa...

READ MORE

Wachoma Moto Bunge Kupinga Bajeti

MAMIA ya waandamanaji wanaopinga Serikali ya GUATEMALA wamechoma moto sehemu ya jengo la Bunge wakipinga Bbjeti iliyopitishwa siku chahe zilizopita...

READ MORE

Uchaguzi Watishia Kuanzishwa Nchi Nyingine

CAMEROON inatarajia kufanya uchaguzi Desemba 6, mwaka huu licha ya kuwepo tishio la mapigano kutoka kwa makundi yanayotaka kujitenga na...

READ MORE

Man Utd kutema Wanne Dirisha Dogo

MANCHESTER United ipo kwenye mchakato wa kuachana na wachezaji wanne katika dirisha dogo la Januari, mwakani ili kubalansi kwenye masuala...

READ MORE

Jatu PLC Yaorodheshwa Kwenye Soko La Hisa la Dar es Salaam

IMEELEZWA kuwa utendaji na uongozi madhubuti wa Rais Dkt. John Joseph Magufuli katika kuweka mikakati na mazingira wezeshi, shirikishi na...

READ MORE

Kidato cha Nne Waanza Kufanya Mitihani Leo

WANAFUNZI 490,103 wa kidato cha nne nchini wanaanza mitihani ya kumaliza elimu  ya sekondari leo Novemba 23, 2020,  ambapo wavulana...

READ MORE

Kilichotokea Bweni la Sekondari ya Loreto Mwanza Likiungua Moto

BWENI la Shule ya Sekondari ya Wasichana Loreto iliyopo wilayani Ilemela limeteketea kwa moto, huku wanafunzi zaidi 100 wakinusurika katika...

READ MORE

Waathirika Dawa za Kulevya Waomba Elimu, Wapokea Msaada wa Meridian Bet

Waathirika wa dawa za kulevya wanaotibiwa kwenye kituo cha Pedderef kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam, wameomba jamii ipewe elimu ya...

READ MORE

Ni Vita ya Funga Mwaka

MUZIKI mzuri hutengenezwa na ubunifu ambao unafanywa na wasanii kwa kufanya kazi nzuri. Kazi ambayo inaweza kuishi miaka mingi na...

READ MORE

Wamejitoa Kimasomaso, Mungu Amewaona

WAHENGA walisema kuwa na mtoto siyo nguo useme utamuomba mtu! Ndivyo ilivyokuwa kwa baadhi ya mastaa Bongo ambao waliamua kujitoa...

READ MORE

Nafasi za Kazi 3 NM-AIST , MHADHILI Msaidizi

POST ASSISTANT LECTURER – 3 POST POST CATEGORY(S) BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES FARMING AND AGRIBUSINESS STATISTICS AND MATHEMATICS WATER,...

READ MORE