×

Ndugai: Tutaendelea Kuwatambua Wabunge Walioapishwa

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amesema, Bunge litaendelea kuwatambua wabunge wote walioapishwa wakiwemo 20 kutoka Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Ndugai Awaapisha Polepole, Lulida

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, leo Novemba 30, 2020,  amewaapisha wabunge wawili walioteuliwa...

READ MORE

Standard Chartered Waungana na Sanlam Tanzania Kuanzisha Bima

BENKI ya Standard Chartered kwa ksuhirikianana kampuni ya bima ya Sanlam Tanzania, Januari 27, 2020 imezindua bidhaa mpya ya bima...

READ MORE

Msalaba Mwekundu Waibuka Kinara wa Huduma Bora Afrika

CHAMA cha Msalaba Mwekundu kimefanikiwa kuwa kinara kwa ubora wa huduma za afya Barani Afrika. Hayo yamesemwa na Rais wa...

READ MORE

Miss Tanzania 2020 Watikisa Global Publishers

  TIMU ya warembo 20 wanaowania taji la Miss Tanzania 2020 leo Novemba 30 lilifanya ziara katika jengo la Global...

READ MORE

Mtanzania Aliyefungwa Kenya Kwa Ugaidi Ajinyonga

RASHID MBERESERO, Mtanzania aliyehukumiwa kifungo cha maisha nchini Kenya baada ya kukutwa na hatia ya kuhusika katika shambulio la kigaidi...

READ MORE

Aliyekuwa Daktari wa Maradona Achunguzwa

WAENDESHA mashitaka nchini Argentina wanamchunguza daktari wa  Diego Maradona, Leopoldo Luque, wakimshuku kwa kuua kufuatia kifo cha nyota huyo wa...

READ MORE

Warembo wa Miss Tanzania Wakielezea Maisha Yao ya Kambini

WASHIRIKI wa Shindano la Miss Tanzania 2020, wametembelea ofisi za Global Publishers ambapo wamefanya mahojiano maalumu na kueleza uzoefu wao...

READ MORE

Bouba Diop wa Senegal Afariki, Aliwatungua Ufaransa 2002

KIUNGO mkabaji wa zamani wa timu ya taifa ya Senegal, Papa Bouba Diop, 42, amefariki dunia jana Novemba 29, 2020,...

READ MORE

Messi Akubali Kukatwa Mshahara Barca

MASTAA wa Barcelona wakiongozwa na Lionel Messi wamekubaliana na klabu hiyo kukubali kupunguziwa mishahara yao ambayo inathamani kiasi cha pauni...

READ MORE

Mtambo wa Mabao Watua Yanga SC

WAKATI Kocha wa Yanga, Cedric Kaze akiwa analia juu ya safu yake ya ushambuliaji kutokuwa namakali, leo Jumatatu anatarajia kuupokea...

READ MORE

Modric Ataka Kumaliza Soka Lake Madrid

KIUNGO wa Real Madrid, Luka Modric, ameendelea kusema anataka kuona anamalizia kipindi chake cha kucheza kwenye kikosi hicho akiwa amebakiwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 30, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 30, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mnyama Anguruma Nigeria, Ampiga Plateua Utd 1-0

Mabingwa wa Tanzania  timu ya Simba leo Novemba 29, imefanikiwa kushinda mchezo wake wa kwanza kwenye michuano ya Ligi ya...

READ MORE

Wanawake wa Shoka Upinzani Karibuni CCM-Dkt. Bashiru

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Dkt. Bashiru Ally  amewakaribisha wanawake kutoka vyama vya upinzania kujiunga na CCM kwa kile...

READ MORE

Mpambano wa Masumbwi Kati ya Tyson, Roy Jones Waisha kwa Sare

Mpambano wa masumbwi ambao ulikuwa wa hisani, baina ya Bingwa wa zamani wa Ndodi, Mike ‘Iron’Tyson dhidi ya Roy Jones...

READ MORE

Huu Ndiyo Mlima wa Simba CAF

  MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2020/21 ambayo inaandaliwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), inatarajiwa...

READ MORE

Wapinzani wa Simba Waliwahi Kushinda 79-0, Wakafungiwa

  LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuanza wikiendi hii, ni michuano ya 25 tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ligi hiyo...

READ MORE

Boko Haram Waua Wakulima 43 Nigeria

Kundi la Boko Haram la Nchini Nigeria limewaua  Wakulima 43 wa Jimbo la Borno katika mashamba yao ya mpunga yaliopo...

READ MORE