×

Simiyu: Minada Yasitishwa Kupisha Uchaguzi

MKUU wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amesitisha minada na magulio yote mkoani humo siku ya uchaguzi mkuu ya Oktoba...

READ MORE

JPM Awaambia Wapiga Kura: Hamchagui Malaika – Video

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. John Magufuli, amesema kuwa anatamani taifa la Tanzania liendelee kuheshimika zaidi duniani...

READ MORE

JPM Kuendelea Kujenga Makanisa Chamwino – Video

RAIS Dkt John Magufuli, leo Oktoba 26, amezindua msikiti uliopo Chamwino mkoani Dodoma, ambapo tukio hilo limeshuhudiwa na Mufti mkuu...

READ MORE

Joti Aula Tigo Ikizindua Kampeni ya ‘Jaza Tukujaze Tena’

DAR ES SLAAM leo Jumatatu, 26 Oktoba 2020 Kampuni ya mawasiliano inayoongoza kwa kutoa huduma za kidigitali nchini Tanzania, Tigo,...

READ MORE

Obama Amvaa Rais Trump

RAIS wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amemkosoa vikali Rais Donald Trump na serikali yake  jana juu ya namna alivyoshughulikia...

READ MORE

#LIVE Kanisani: Mwili wa Elisha Elia Waagwa Dar

MWILI wa mtangazaji, Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya...

READ MORE

Kamanda Muslim Aanika Chanzo cha Ajali ya Ngara

  Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim, leo Oktoba 26, 2020 amesema uchunguzi wa jeshi hilo umebaini...

READ MORE

Askofu Ruwa’ichi Aipongeza ACB Kuiwezesha Shule ya Mary Mother of Mercy

MHASHAMU Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Dar es Salaam, Jude Thadeus Ruwa’ichi ameipongeza Benki ya ACB na wadau...

READ MORE

Conde Atangazwa Mshindi Katika Uchaguzi Mkuu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Guinea, jana Oktoba 25, 2020 imemtangaza Rais Alpha Conde kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Mobetto Afunguka, Sijui Kuimba?

Msanii wa BongoFleva na filamu, Video Vixen, Mjasiriamali Hamisa Mobetto amevunja ukimya kwa kusema yeye sio mtu wa kukata tamaa...

READ MORE

Live: Mwili wa Elisha Elia Watolewa Muhimbili Kwenda Kuagwa

MWILI wa mtangazaji Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya...

READ MORE

Novatus Dismas: Nimetimiza Ndoto ya Kucheza na Samatta Ulaya

BAADA ya kufanikiwa kulamba dili la kusajiliwa na Klabu ya Macabi Tel Aviv inayoshiriki Ligi Kuu Israel kiungo kinda aliyekulia...

READ MORE

Mbowe: Lissu Atakuwa Rais, Mimi Waziri Mkuu

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda...

READ MORE

Kiongozi wa Al-Qaeda Auawa Afghanistan

VIKOSI maalum vya Afghanistan vimemuua kiongozi muhimu wa kundi la Al-Qaeda ambaye pia alikuwa akitafutwa na Serikali ya  Marekani, idara...

READ MORE

Membe Arejeshwa CCM, Dkt. Bashiru Afunguka!

DAR: Wakati ikiwa imesalia siku moja kabla ya Watanzania kufikia kilele cha Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, mwaka huu, Mgombea Urais...

READ MORE

Simba Sasa ni Ushindi tu

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba, leo Jumatatu wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting ambayo...

READ MORE

Mtoto Ampa Heshima Kim Nana

 DAR : Muuza nyago maarufu (video vixen) Bongo, Lillian Kessy ‘Kim Nana’, amesema kuwa, mwanaye Sky ndiye kila kitu kwenye...

READ MORE

Ben Pol Amfungulia Dunia Darasa

DAR: Mkali wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ’Darasa’, amefunguka kuwa hadi hapo alipofikia, siyo yeye, bali ni sapoti ya...

READ MORE

Belle 9 Hachagui Gereza

STAA wa RnB Bongo, Abednego Damian ‘Belle 9’, ameweka wazi kuwa, katika utaratibu wake wa kufanya kazi haangalii wala kuchagua...

READ MORE

NEC Yakanusha Madai ya Vituo na Wapigakura Hewa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wanasiasa na wagombea wanaodai kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa kupeleka ushahidi na...

READ MORE