×

Chicken Hot Run Yaaanzisha Mbio Za Kasi Meridianbet

Mashabiki wa burudani za kasi, maandalizi yamekamilika na msisimko mpya umeingia ndani ya Meridianbet. Chicken Hot Run, mchezo uliotengenezwa na...

READ MORE

Lula Atangazwa Mshindi wa Uchaguzi Brazil, Aandika Historia

Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva, ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 25, 2026, baada ya...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Onyo kwa Wanaopanga Vurugu Nchini – Video

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa onyo kwa watu wanaojihusisha na mipango ya kufanya vurugu, fujo na kuharibu miundombinu inayotumika kutoa...

READ MORE

Video: Almas Kasongo Afunguka Sakata La ‘Hatuchezi’ Kati ya Simba na Yanga

Unalikumbuka sakata la kauli ya “Hatuchezi” iliyotikisa soka la Tanzania na kuhusisha watani wa jadi, Simba SC na Yanga SC?...

READ MORE

Heche Amuomba Rais Ruto Kumhakikishia Usalama wa Twaha Mwaipaya

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amemuomba Rais wa Kenya, William Ruto, kuingilia kati na kuhakikisha...

READ MORE

Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi ‘Wazee wa Mimina’ Yatikisa Sifa Gospel Fest Dodoma – Video

Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi, maarufu kama Wazee wa Mimina, nayo haikuwa nyuma katika makamuzi ya kumtukuza Mungu usiku wa...

READ MORE

Nicki Minaj Aungana na Trump Jukwaani, Awahamasisha Wamarekani

Rapa maarufu duniani, Nicki Minaj, amemuunga mkono Rais wa Marekani, Donald Trump, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Michigan siku ya...

READ MORE

Video: Azim Dewji, Mziwanda Wamchana Doumbia Kwa Kupoteza Nafasi

Mfanyabiashara maarufu na shabiki kindakindaki wa Klabu ya Simba, Azim Dewji, amezungumzia mwenendo wa mshambuliaji wa timu hiyo, Ibrahim Doumbia,...

READ MORE

Gwajima Akemea Matumizi Mabaya ya Mitandao kwa Wanafunzi – Video

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amekemea vikali mwenendo wa baadhi ya mabinti...

READ MORE

Video: Msigwa Afafanua Ukweli Kuhusu Bilioni 730 za Maandalizi ya El Niño

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amekanusha madai ya upotoshaji kuhusu makadirio ya Shilingi bilioni 730 yaliyotajwa katika Mpango wa...

READ MORE

Nmb Yafungua Fursa za Dhamana za Mabilioni Kwa Wadau wa Madini

Benki ya NMB imetangaza fursa za kifedha kwa wadau wa sekta ya madini nchini kwa kutoa dhamana za zabuni (Bid...

READ MORE

Ajira Mpya 23 Zatangazwa Wizara ya Mawasiliano, Maombi Kufungwa Oktoba 28

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetangaza nafasi 23 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, kupitia tangazo lenye kumbukumbu...

READ MORE

Msigwa Awataka Watanzania Kujiepusha na Uchochezi, Asisitiza Amani – Video

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewataka Watanzania, hususan vijana, kujiepusha na hamasa za uchochezi na kushiriki katika matukio yenye...

READ MORE

Sababu 7 Zinazofanya Ndizi Mbivu Kuwa Tunda Bora kwa Afya

Ndizi mbivu ni miongoni mwa matunda yanayopatikana kwa urahisi na yanayopendwa na watu wengi kutokana na ladha yake tamu pamoja...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 26, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Vodacom Tanzania yaendelea kukuza Golf nchini, Paul Chidale aibuka kinara Vodacom Tanzania Open 2026

Mashindano ya Vodacom Tanzania Open 2026 yamehitimishwa jijini Arusha kwa mafanikio makubwa, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kampuni ya...

READ MORE

Benki ya Exim Tanzania Yatoa Elimu na Huduma za Uchunguzi wa Saratani ya Matiti Bila Malipo

Benki ya Exim Tanzania kupitia programu ya Exim Cares, imefanya zoezi la uhamasishaji kuhusu saratani ya matiti lililowapa fursa wafanyakazi...

READ MORE

Mpira Huo! Liverpool Mbele ya Brighton, Vita Ya Pointi Tatu Epl

Mashabiki wa soka wanatarajia kushuhudia pambano la moto wakati Liverpool itakapokuwa mwenyeji wa Brighton & Hove Albion katika mchezo wa...

READ MORE

Xiaomi Yazindua REDMI Note 17 Titan Max

Xiaomi leo imezindua toleo la REDMI Note 17, kizazi kipya cha mfululizo wake wa simu janja unaouzwa zaidi, ikiwasilisha matoleo...

READ MORE

Fahamu Mafanikio ya Manqoba Mngqithi Ndani ya Yanga, Takwimu Zake na Kilichomuondoa

Kocha raia wa Afrika Kusini, Manqoba Mngqithi, amemaliza safari yake ndani ya Yanga baada ya kutumikia klabu hiyo kwa takribani...

READ MORE