×

Mangungu: Mabadiliko Simba Lazima Yafuate Sheria, Sio Maamuzi ya Watu

Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu leo Agosti 3, 2026 amesema alifanya jitihada za kuitisha mkutano wa dharura kufuatia maelekezo aliyoyapokea...

READ MORE

Bilioni 2 Zasubiri Mshindi: Meridianbet Yazindua Diamond Jackpot ya Mechi 14

Meridianbet wamekuletea bonge la Jackpot ambapo Shilingi Bilioni 2 kuwania wikendi hii. Hii ni Diamond Jackpot ambayo kwa dau la...

READ MORE

Mambo 10 Muhimu Ya Kuzingatia Ukiagiza Gari Nje Ya Nchi, Usifanye Makosa!

Kuagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi ni mchakato unaohitaji uangalifu mkubwa ili kuhakikisha unakidhi sheria, kodi, na taratibu za...

READ MORE

Waigizaji 7 Waliowahi Kuigiza Kama Wapenzi wa Zendaya Kwenye Filamu na Tamthilia

Mwigizaji maarufu wa Marekani, Zendaya, amekuwa na nafasi nyingi za kuonyesha mapenzi kwenye skrini akiwa na waigizaji mbalimbali wakubwa Hollywood....

READ MORE

Angalia Maajabu Ya Mazda CX‑50 Toleo la Kipekee Kwenye Macho!

Kama unatafuta SUV yenye muundo wa kuvutia, nguvu za barabarani, na teknolojia ya kisasa, basi Mazda CX‑50 ni chaguo lisilo...

READ MORE

Serikali Kuangalia Fursa Za Mikopo Kwa Wanaosoma Kozi Fupi – Waziri Mkuu

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itachunguza uwezekano wa kutoa mikopo kwa vijana wanaosoma kozi za muda mfupi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Simba Yatikiswa! Magori Akataa Kutambua Mkutano wa Bunju

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori, amesema kikao kilichofanyika Bunju, Dar es Salaam, Agosti 2, 2026,...

READ MORE

Video: Yanga Wamchagua Tena Hersi Said, Arafat Haji Abaki Makamu wa Rais

Wanachama wa Yanga leo Agosti 2, 2026 wamewapitisha Eng. Hersi Said kuwa Rais na Arafat Haji kuwa Makamu wa Rais...

READ MORE

Dkt. Mwigulu: Uwekezaji wa Utafiti wa Kilimo ni Msingi wa Mageuzi ya Sekta

Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa kuwekeza katika utafiti wa kilimo ndiyo njia sahihi ya kuleta mageuzi ya kweli katika...

READ MORE

Mwanamke Akamatwa kwa Tuhuma za Kumuua Baba Yake, Sababu Bado Kitendawili

Mwanamke mwenye umri wa miaka 32 nchini Marekani amefunguliwa mashtaka ya mauaji baada ya kudaiwa kumuua baba yake katika nyumba...

READ MORE

Mwanamichezo Maarufu wa Kupanda Milima Nirmal Purja Afariki Dunia

Mwanamichezo maarufu wa kupanda milima kutoka Nepal, Nirmal “Nimsdai” Purja, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya...

READ MORE

Msimu wa Pili wa EAGMA Wazinduliwa Rasmi, Safari ya Kuwatafuta Bora Yaanza

Msimu wa pili wa East Africa Gospel Music Awards (EAGMA), tuzo zinazotambua na kuthamini muziki wa injili Afrika Mashariki, umezinduliwa...

READ MORE

Stanbic Yadhamini Milioni 30 Mashindano ya Kikapu ya Jamii ya Wachina

Stanbic Bank Tanzania imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na jamii ya Wachina nchini Tanzania baada ya kutoa udhamini wa Shilingi milioni...

READ MORE

Kila Mzunguko Kukusogezea Zawadi ya TZS 6,000,000 Ya Expanse Mega Cash Race

Mashabiki wa kasino mtandaoni wamepata sababu mpya ya kuwasha moto wa ushindani baada ya Meridianbet kuzindua promosheni mpya ya Expanse...

READ MORE

Trump Atangaza Kusimamisha Mashambulizi Mapya dhidi ya Iran

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa ameamua kusitisha kwa muda mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran, akisema hatua...

READ MORE

Yanga Yamtambulisha Fred Ngoma, Namba 6 Mpya Jangwani, Rekodi Zake Balaa!

Fred Duval Ngoma anatua Yanga akiwa na wasifu unaoonyesha uzoefu wa soka la ushindani barani Afrika. Kiungo huyo mkabaji mwenye...

READ MORE

Airtel Money Yazindua “Minyoosho Inaendelea”, Wateja Wapata Nafasi ya Kushinda Zawadi

Dar es Salaam –Airtel Money imezindua rasmi kampeni ya Minyoosho Inaendelea na My Airtel App, yenye lengo la kuwazawadia wateja...

READ MORE

Pigo kwa Infantino! FIFA Yafuta Mpango Tata wa Kuuza Hisa za Mashindano

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amepata pigo kubwa kisiasa baada ya mpango wake wa kuanzisha kampuni ya kibiashara ya kusimamia...

READ MORE

Meridianbet Yaleta Raha Mpya ya Kubashiri Kupitia 100% Cash Back

Ukiwa na Meridianbet ni raha kupitiliza kwani unaweza ukarejesha pesa yako kwa 100% endapo timu moja ikichana leo. Ingia kwenye...

READ MORE