×

Usilalamikie Maisha Magumu, Changamkia Fursa Hii Itakayokutoa Kimaisha

Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli, imepaa na kuingia kwenye uchumi wa kati! Ni wakati wako...

READ MORE

Rais Magufuli Ayaanika Maajabu ya Mkapa – Video

  RAIS John Magufuli ameanika mambo makubwa aliyoyafanya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, hayati Benjamin William Mkapa wakati wa...

READ MORE

Kim: Silaha za Nyuklia Nitazuia Vita Nyingine

KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amesema hakutakuwa tena na vita kwa sababu silaha zake za nyuklia zitahakikisha ulinzi...

READ MORE

Mkapa Alichomwambia Magufuli Kabla ya Kifo – Video

  RAIS  John Magufuli amesema saa chache kabla ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin  Mkapa,  kuaga dunia, alizungumza...

READ MORE

Benki Ya CRDB Yatoa Bilioni 500 kwa Akinamama

  BENKI ya CRDB imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wajasiriamali wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia...

READ MORE

Multichoice Yaongeza ESPN Ndani Ya DStv

Miezi michache tu baada ya kurejea kwa michezo mbalimbali mubashara ndani ya DStv, Kampuni ya MultiChoice na The Walt Disney...

READ MORE

JPM Aubadili Uwanja wa Taifa Kuwa Mkapa Stadium – Video

RAIS  John Magufuli amesema kutokana na maombi ya Watanzania  wengi, ametangaza rasmi kuubadili jina Uwanja wa Taifa na kuwa Uwanja...

READ MORE

Wasifu: Prof. Kabudi Awataja Watoto Alioacha Mkapa – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi, akisoma wasifu wa hayati rais mstaafu awamu ya tatu, Benjamin...

READ MORE

Diary ya Shigongo: Nenda Mkapa, Nenda Shujaa!

TAIFA linazizima! Mbuyu umeanguka katikati ya msitu mkubwa, miti mingine yote inatetemeka! Binafsi ninayo huzuni kubwa ndani ya moyo wangu...

READ MORE

Kocha Mtibwa: Nipo Tayari Kutupiwa Virago

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila, amesema kuwa yupo tayari kuwajibishwa na uongozi wa klabu hiyo kufuatia mwenendo mbaya...

READ MORE

Nafasi ya Kazi 2 DIT – Assistant leacturer-Civil Engineering

  POST ASSISTANT LECTURER-CIVIL ENGINEERING DEPARTMENT – 2 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER Dar es Salaam Institute of...

READ MORE

Dewji Atuma Ombi Kwa JPM Kumuenzi Mkapa

BILIONIEA mwekezaji kwenye Klabu ya Simba Mohamed Dewji ‘MO’ ametuma maombi kwa Rais Dk John Magufuli kubadili jina la Uwanja...

READ MORE

Video: JPM Aongoza Maelfu Kumuaga Hayati Mkapa Uwanja Wa Uhuru

Mwili wa Marehemu Benjamin Mkapa umeshafikishwa katika uwanja wa Uhuru Dar kwa ajili ya kuagwa. Rais Magufuli ataongoza viongozi wa...

READ MORE

Ligi Kuu Bara 2019/20: Matukio Haya Hayatasahaulika

LIGI Kuu Bara 2019/20 imefikia tamati juzi na sasa tunajiandaa na msimu ujao wa 2020/21 ambapo tunategemea utakuwa msimu bora...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Julai 28, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 28, 2020 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Kigogo Simba Aficha Hatima Ya Shiboub

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, raia wa Afrika Kusini, amefunguka kuwa watazungumzia juu ya hatima ya kiungo wao Msudan,...

READ MORE

Lusajo, Bigirimana Wampa Hofu Sven

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck, amekiri kuwa ubora wa safu ya ushambuliaji ya Namungo inayoongozwa na Reliants...

READ MORE

Viongozi wa Nje Waanza Kuwasili Kuhudhuria Mazishi ya Mkapa

VIONGOZI mbalimbali kutoka nje ya Tanzania wameanza kuwasili nchini kuhudhuria maziko ya kitaifa ya Rais wa awamu ya tatu wa...

READ MORE

Dkt. Abbas: WaTZ Mfike Uhuru Stadium Saa 12 – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, amewataka Watanzania kujitokeza mapema katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, kesho...

READ MORE