WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa melekezo ya shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa...
READ MOREALIYEKUWA mshambuliaji wa Rayon Sports, Michael Sarpong, amefunguka kuwa kwa sasa anasubiria viongozi wa Simba wamtumie tiketi ili aweze kutua...
READ MORESPIKA wa Bunge, Job Ndugai, akisaini kitabu cha maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William...
READ MOREMAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Bara, Tundu Lissu, amewasili nchini baada ya kuwa ughaibuni kwa...
READ MOREMWILI wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, utawasili moja kwa moja kijijini Lupaso, mkoani Mtwara kesho jioni kutoka jijini Dar es...
READ MOREABBAS TARIMBA, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa SportPesa Tanzania, amesema mafanikio makubwa ya kampuni hiyo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na ushirikiano...
READ MOREShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema litamchukulia hatua za Kinidhamu Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Luc Eymael. Kocha...
READ MOREBUNGE la Somalia limepiga kura jana Jumamosi ya kumwondoa kwenye wadhifa wake Waziri Mkuu, Hassan Ali Khayre, ambaye ameendelea...
READ MORELUC Eymael, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa nyota wa Simba, Meddie Kagere na Francis Kahata ni miongoni mwa...
READ MOREKATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mmoja wa wagombea wa udiwani Kata ya Sungwizi, Katambi Sospeter, alijikuta kwenye wakati mgumu baada...
READ MORELICHA ya kubakisha miezi miwili kabla ya mkataba wake kumalizika, kiungo nyota wa Yanga, Haruna Niyonzima, amefunguka kwamba ameamua kuuweka...
READ MOREPAZIA la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2019/20 jana lilimalizwa kibabe kwa klabu za Ndanda FC ya Mtwara,...
READ MOREMAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino, Profesa Costa Mahalu, amesema kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,...
READ MOREKLABU ya Yanga leo, Jumatatu, Julai 27, 2020, imetangaza kumfuta kazi kocha wao, Luc Eymael, baada ya kocha huyo kusikika...
READ MOREMsemaji wa Serikali ya Kenya, Cyrus Oguna amethibitisha kuwa na virusi vya Corona baada ya kufanya vipimo na kupatikana na...
READ MOREBEKI wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, anatarajiwa kuwepo kwenye sehemu ya kikosi kitakachoivaa Namungo FC katika mchezo...
READ MOREJARIBU kufikiria upo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 20 au zaidi, ndoa yenu ikiwa imebarikiwa kuwa na watoto watatu,...
READ MORETAKRIBANI miili 37 ya watu waliokufa imegunduliwa hivi punde huko Pinga na viunga vyake, katika eneo la Walikale, katika mkoa...
READ MORESERIKALI ya China imeripoti kesi mpya za maambukizi ya virusi vya corona katika China bara Julai 25, ikiwa ni ongezeko...
READ MORE