×

Kagame Amfuta Kazi Waziri wa Mambo ya Ndani

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amemuondoa madarakani Waziri wa Mambo ya Ndani, Jenerali Patrick Nyamvumba, kutokana na masuala ya uwajibikaji...

READ MORE

AY Alivyopenya Kwenye Corona

  “Dan’Hela inaonesha kabisa hupendi watu Sogea…(karibu) Bila wewe jua Maisha si kitu Dan’Hela…Ooh Ooh! Inaonesha kabisa hupendi watu Usijepotea…...

READ MORE

CoronaVirus: Ligi Kuu Ufaransa Yafutwa, PSG Bingwa?

Ligi Kuu Soka nchini Ufaransa (The Ligue 1) na Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) zimefutwa baada ya Waziri Mkuu...

READ MORE

Tanzia: Mkuu wa Uhamiaji Mkoani Kagera Afariki Dunia

MKUU wa Uhamiaji mkoani Kagera, Pendo Butenghe, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa ya Bukoba, baada...

READ MORE

Amuua Mkewe kwa Kumtaka Wapime Kabla ya Tendo la Ndoa – Video

KAMANDA wa Polisi mkoa wa Mwanza, Jumanne Murilo, ameelezea tukio la wanandoa waliopoteza maisha kwa mume kumuua mkewe na kisha...

READ MORE

BASIC MATHS FORM FOUR: Areas and Perimeters – Video

Jipange na Pepa Project inayoendeshwa na Kampuni ya Global Group kupitia magazeti pendwa kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania...

READ MORE

Mwanasayansi Mbaroni kwa Kupotosha ‘Pilipili Kichaa ni Dawa ya Corona’

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Ibrahim Peter (26) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Gambo Agawa Bure Sukari Iliyokamatwa Namanga – Video

MKUUwa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amegawa bure sukari kiasi cha kilo 5,000 iliyokamatwa katika mpaka wa Namanga unaotenganisha Tanzania...

READ MORE

Corona Yamkimbiza Sanchi Mjini

MWANAMITINDO anaye-tingisha kwa umbo lake matata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameamua kukimbilia kwa bibi yake, Marangu mkoani Kilimanjaro kutokana na...

READ MORE

Wakili Msando: Corona Hali ni Mbaya, Semeni Ukweli – Video

WAKILI maarufu wa kujitegemea, Alberto Msando, ametoa msaada wa barakoa 100 pamoja na vitakasa mikono 100 kwa waandishi wa habari...

READ MORE

Waliopandisha Bei ya Sukari Waiona Shughuli ya DC Sabaya – Video

  Ikiwa ni siku chache zimepita tangu serikali kutangaza Bei elekezi ya Sukari kwa kila mkoa bado Baadhi ya Wafanyabiashara...

READ MORE

Niyonzima Aoa Kimyakimya Mke Wa Pili

KIUNGO wa klabu ya Yanga, Haruna Niyonzima,  ameoa mke wa pili aitwaye Niyonkuru Console ‘Cassandra Rayan’. Ndoa hiyo imefungwa  bila...

READ MORE

Corona: Ndege za Abiria za ATCL Kubeba Mizigo

KATIKA kukabiliana na changamoto za kibiashara zinazosababishwa na mlipuko wa virusi vya corona, Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) inatarajia...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 374

WIZARA ya Afya Kenya imesema wagonjwa wengine 11 wa corona wameongezeka jana na kufanya jumla ya visa vya corona kufikia...

READ MORE

Moro: Kisa Dalili za Corona, Mazishi ya Naibu Meya Yasitishwa

MAZIKO ya aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro na diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege, Isihaha Sengo, yamesitishwa...

READ MORE

Nafasi za Kazi Global Development Incubator– Country Representative

Country Representative, Tanzania TBD, Tanzania, United Republic of Contract Company Description Aceli Africa is a market-enabling facility to mobilize over...

READ MORE

Lyyn Adaiwa Kufuata Nyayo za Mobeto kwa Kiba

JUZIKATI f’lani hivi, huyu video vixen na msanii wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lyyn’ aliibua stori nyingi kama kawaida yake....

READ MORE

Recho: Ni Mungu Tu Amenisimamia

WINFRIDA Josephat Mbonimpa maarufu kwa jina la Recho Kizunguzungu, ni kipaji kikubwa mno cha Bongo Fleva na Bongo Movies. Kipaji...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Aprili 29, 2020 – Video

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo April 29, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Utamu Usioisha Hamu – 6

   ILIPOISHIA IJUMAA… “Madenge nina hamu sana leo, mkeo kama hayupo njoo mara moja chumbani kwangu, nimezidiwa sana please…” “Mmh!...

READ MORE