×


Facebook

PUB YA AUNT YAMLIZA WEMA!

WEMA Sepetu amesema hakuna kitu kilichomuuma na kumkosesha usingizi kama kufungwa kwa Pub ya rafiki yake, Aunt Ezekiel.  Akizungumza na Amani, Wema alisema kuwa tukio…

SOMA ZAIDI


JOKATE: Baiskeli inanipa urembo

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameeleza kuwa anapenda kutumia baiskeli kwa misele midogomidogo kwani ina faida mwilini mwake. Akizungumza na Amani, Jokate alisema…

SOMA ZAIDI Jux: Amethubutu, ameweza

WEKA pembeni uhusiano wake na yule ‘Mchina’ mwenye asili ya Thailand, Nayika Thongom, kwa sasa Juma Musa ‘Jux’ ndiye habari ya mjini kwa upande wa…

SOMA ZAIDI
Hatima ya Idris kujulikana leo

MCHEKESHAJI na mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan leo anatarajiwa kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati kujua hatima yake baada ya wiki…

SOMA ZAIDI

Ajibu Kuisaka Rekodi Mpya Simba SC

ACHANA na rekodi ya Ibrahim Ajibu ambayo aliiweka akiwa na Yanga, kiungo huyo ameweka wazi kuwa anataka kuweka rekodi mpya huku akidai kuipita ile ambayo aliiweka…

SOMA ZAIDI
Wanafunzi 13 Chuo Kikuu Wauawa

Watu 13 wamefariki dunia kufuatia vurugu za mapigano zilizotokea katika Chuo Kikuu cha Kogi katika eneo la Ayingba nchini Nigeria.   Kwa mujibu wa habari…

SOMA ZAIDIUzuri wa uwanja usafishwe

PAAAMBE SHOGA… wanakwambia mfuniko wa soda hautunzwi na ukitaka kujua kanga ina umuhimu nenda ukweni na taiti, upo nyonyo? Heee heeeeeiyaaaaa heri uwe na guu…

SOMA ZAIDI

Mbelgiji Simba: Acha Zahera Aende Zake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ameshtushwa na kitendo cha uongozi wa Yanga kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wake, Mwinyi Zahera lakini akasisitiza hawezi…

SOMA ZAIDIMwijaku Aibukia kwa Mkewe

ACHANA na maneno ya picha chafu za Meninah, msanii Burton Mwamba ‘Mwijaku’ ameibuka na kumfagilia mke wake kuwa ana akili sana na ni muelewa.  …

SOMA ZAIDI
Penny Anajisifia Kwa Hili

KILA mtu anapenda kujisifia sehemu mbalimbali za mwili wake, ushawahi kujiuliza aliyekuwa mtangazaji matata wa stesheni mbalimbali za redio, Penieli Mungilwa ‘Penny’ anapenda kujisifia nini?…

SOMA ZAIDI