×

Waziri Jerry Silaa Aingilia kati mgogoro kati ya wakulima na wafugaji Chalinze – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro kati ya wakulima na wafugaji katika Kijiji...

READ MORE

Chama Awaaga Rasmi Simba Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram

Kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama kawaaga rasmi Simba, kupitia ukurasa wake wa kijamii wa...

READ MORE

Naibu Waziri Kapinga: Vijiji Vyote Tanzania Bara Kufikiwa Na Nishati Ya Umeme

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameeleza kuwa, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) inatekeleza Mradi wa Kusambaza...

READ MORE

Rais Samia Amteua Jafo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Selemani Saidi Jafo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Jafo anachukua nafasi ya...

READ MORE

Aweso Abaini Uzembe na Hujuma ya Makusudi kwa Watendaji wa DAWASA

Waziri wa maji Jumaa Aweso amesema amebaini uzembe na hujuma ya makusudi kutokana na watendaji wa Mamlaka ya maji safi...

READ MORE

Rais Samia, Nyusi Wapongeza Mkakati wa Utanuzi Benki ya PBZ, Yakaribishwa Kufungua Tawi Msumbuji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepongeza jitihada zinazofanywa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yashuka Dizeli, Petroli Kutumika kuanzia leo Julai 03, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya...

READ MORE

Maajabu ya Nywele za Binadamu Kukutwa Kwenye Sahani ya Pilau Kimiujiza

Mji wa Thika nchini Kenya ulikumbwa na kisa cha kushangaza siku ya Jumamosi wakati mteja fulani katika hoteli moja ya...

READ MORE

Yusuph Juma Mwenda Ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu TRA

Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), Yusuph Juma Mwenda ameteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato...

READ MORE

Rais Samia Amteua Yahya Ismail Samamba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Ismail Samamba kuwa Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 3, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Aweso Amtumbua Meneja wa DAWASA Kibamba

Waziri wa maji Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa DAWASA Kibamba anaye julikana kwa jina la Elizabeth Sankere, kutokana na...

READ MORE

Rais Samia Awaongoza Wageni Mbalimbali Chakula cha Mchana Akiwemo Rais wa Msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu...

READ MORE

Shinda Mamilioni na Promosheni Hii ya Kasino

“Meridianbet imetambulisha Promosheni mpya ya kasino mtandaoni, inayotoa Mamilioni kwa washindi, Jisajili Meridianbet kuwa mshindi”

READ MORE

Rais Samia Ampokea Rais wa Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi Ikulu jijini Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, amempokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi, katika...

READ MORE

Kampuni ya Kuuza Magari ya Kobe Motor Japan Kuongeza Idadi ya Magari Yake Soko la Tanzania

Kampuni ya Kobe Motor ya Japan imesema itaendelea kujitanua zaidi katika soko la Tanzania kutokana na kukua kwa mahitaji ya...

READ MORE

DC Magoti Akasirishwa Na Mradi Kukwama Atoa Maelekezo Mazito Kwa Meneja Wa TARURA – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali wilayani humo ikiwa ni pamoja na kutembelea...

READ MORE

Serikali ya Marekani Yashiriki Uzinduzi wa Ndondo Cup 2024 Kupitia Kampeni za Sitetereki na Furaha Yangu

Wizara ya Afya, Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Serikali ya Marekani ( USAID na PEPFAR) kupitia mradi wa Breakthrough...

READ MORE

Jumla Ya Wagonjwa 32,136 Wahudumiwa Kwenye Kambi Ya Madaktari Bingwa Na Wabobezi Arusha

Kufuatia Kiliniki ya matibabu yaliyotolewa bure kwenye kambi ya Madaktari Bingwa na Mabingwa Wabobezi iliyofanyika kwa siku 7, kwenye uwanja...

READ MORE

EU Yamshutumu Mmiliki wa Facebook Kwa Kukiuka Kanuni za Kidigitali

Umoja wa Ulaya imeishutumu Mmiliki wa Facebook na Meta, Mark Zuckerberg kwa kukiuka kanuni za kidigitali ya jumuiya hiyo, ikifungua...

READ MORE