×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 6, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Mamelodi Sundowns Yatinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Mamelodi Sundowns imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Yanga Sc kwenye...

READ MORE

Halotel Yatia mkono Uongozi wa mtaa wa Bwawani Kupitia Ufadhili wa Tukio la Iftar

Kampuni kubwa ya mawasiliano Halotel, inayoendelea kuwa mstari wa mbele katika kuleta maendeleo kwa jamii, imejitolea kudhamini tukio la Iftar...

READ MORE

Mfalme Aliyelaaniwa Misri | The Cursed King Kasino Bomba Ndani ya Meridianbet

Kupitia Meridianbet utakutana na mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoelezea kisa cha Farao aliyelaaniwa kwa matendo yake, unachopaswa kufanya ni...

READ MORE

Waziri Mkuu: Serikali Yatumia Sh. Trilioni 10 Ujenzi Wa SGR

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. trilioni 10.69 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango...

READ MORE

Dkt. Biteko: Watendaji Wazembe Tanesco Kuanza Kuchukuliwa Hatua Kila Mwezi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma...

READ MORE

Aliyekuwa spika wa bunge Afrika kusini ashtakiwa kwa tuhuma za ufisadi

Nosiviwe Mapisa-Nqakula, ambaye alijiuzulu wadhifa wa uspika Jumatano, alifikishwa mahakamani mjini Pretoria baada ya kufika polisi na kukamatwa rasmi. “Mashtaka...

READ MORE

Rais Samia Amteua Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa...

READ MORE

Uteuzi Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Catherine Michael Mashalla katika nafasi ya...

READ MORE

Walionaswa Kwenye V8 Wahukumiwa Mwaka Mmoja Jela – Video

Wahamiaji haramu raia wa Ethiopia wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela au kulipa faini ya Milioni moja kwa...

READ MORE

Waziri Silaa Awajibu Wanaosema Anaingilia Mahakama – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ametoa ufafanuzi kuhusu watu wanaodhani anaingilia mahakama katika baadhi ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 5, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Elimu Ya Matumizi Ya Nishati Safi Yafikishwa Kwa Kinamama Mwalusembe Pwani

Katika kuunga juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wanawake wanatumia nishati...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Kauli Kuhusu Usimamizi wa Usalama na Afya Nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inachukua kila jitihada kuhakikisha wafanyakazi nchini wanalindwa...

READ MORE

Simalenga Akunwa Na Jitihada Za Kilimanjaro One Kukuza Utalii Wa Kiutamaduni Bariadi

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mh. Simon Simalenga amaipongeza kampuni ya Kilimanjaro one Travel and Tours kkwa kuunga mkono kwa...

READ MORE

Kasino ya 5 Hot Strike Ulimwengu wa Ushindi

Matunda ni lishe muhimu katika mwili wa binadamu lakini kwa upande wa kasino ni kiungo kinachotumika kutoa ushindi kwa wachezaji...

READ MORE

Video: Rais Samia Amuapisha Makonda Na Viongozi Wengine Aliowateua Ikulu, Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar...

READ MORE

NMB Yafuturisha Wabunge na Watoto Wenye Mahitaji Maalum Dodoma

        Tunapoendelea na mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Benki ya NMB imepata nafasi ya kujumuika na wabunge wa...

READ MORE

Tanzania Yapongezwa Usimamizi Rasilimali Madini, Mafuta Na Gesi Asilia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Aprili 3, 2024 amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa...

READ MORE