The House of Favourite Newspapers
gunners X

TECNO KUJA NA KAMERA YA AINA YAKE

KUFUATIA matoleo ya simu mbalimbali yaliyotangulia, TECNO, imekua ikitajwa  ikihusishwa na ujio wa toleo jipya ikikisiwa kuwa ni muendelezo wa matoleo ya Camon, ni ukweli usiopingika kuwa matoleo ya TECNO-Camon yamekua na kamera nzuri…