×

Simba Watamba Kuifunga Al Ahly, Kocha Awawekea Mtego Uwanja wa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema hana hofu ya kukutana na Al Ahly ya Misri, kwani anazijua...

READ MORE

Wegovy: Kampuni Ya Dawa Za Kupunguza Uzito Ndio Yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya

Kampuni ya kuunda dawa za kupunguza uzito, Wegovy, imekuwa kampuni yenye thamani zaidi barani Ulayana kuondoa ufalme wa kampuni ya...

READ MORE

Winga wa Man United Atemwa Timu Ya Taifa Kisa Sakata la Mpenzi Wake

Winga wa Manchester United, Antony ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa hilo kufuatia madai ya kumshambulia kimwili mpenzi wake...

READ MORE

Mafundi Wakuta Mwili Wa Mwanamke Wakichimba Msingi, Mume Atuhumiwa Kuhusika – Video

Tukio la kustaajabisha limetokea katika Mtaa wa Nyamihimbi Kata ya Somanda Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, baada ya...

READ MORE

#Exclusive: Niffer Ataka Kujiua Kisa Mapenzi – “Nilisimama Katikati Ya Barabara Sinza Nigongwe Nife” -Video

Mfanyabiashara ambaye pia ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii Jenifer Jovin ‘Niffer’ amefunguka kupitia mahojiano aliyoyafanya na @globaltvonline alipokuwa akihojiwa...

READ MORE

Mayele: Maxi Nzengeli Ataibeba Yanga Kubeba Ubingwa Msimu Huu

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kwa namna anavyomfahamu Maxi Nzengeli, anaamini nyota huyo ataisaidia sana timu hiyo...

READ MORE

Waziri wa TAMISEMI Awataka Wakuu Wa Mikoa Na Wilaya Kusimamia Fedha Za Miradi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kushuka chini kwa...

READ MORE

Watu 40,000 Wahudhuria Kuapishwa kwa Mnangagwa Zimbabwe

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameapishwa Jumatatu kuhudumu kwa muhula wa pili baada ya uchaguzi uliozua utata, ambapo aliibuka mshindi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Septemba 5, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 5, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Video: Shangwe Bungeni Naibu Waziri Mkuu Biteko Akikaribishwa Na Spika Tulia -Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

Prof. Makame mbarawa Asisitiza Ushirikiano Wizara Mpya

 Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame mbarawa  ametoa wito kwa menejimenti ya Wizara kushirikiana na wakuu wa taasisi  kuhakikisha kunakuwa na...

READ MORE

Waziri Silaa Ataka Ushirikiano Wizara ya Ardhi

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry William Silaa amewasili kwa mara ya kwanza ofisi za Wizara...

READ MORE

Mbinu Unazoweza Kuzitumia Kudhibiti Fedha Zako Zisipotee Kwa Wepesi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu...

READ MORE

Lake Energies Yazindua kampeni ya ‘Kumtua Mama Kuni Kichwani’

MAKUMI elfu ya akina mama na familia zao wa mikoa mitano ya Dodoma, Morogoro, Mwanza, Arusha na Geita, watanufaika na...

READ MORE

Simba: Al Ahly Waje Tu, Tuna Dawa Yao kwa Mkapa Tupo Tayari – Video

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), Jumamosi lilichezesha droo ya michuano ya African Football League ambapo wawakilishi wa Tanzania, Simba wanatarajiwa...

READ MORE

Tanzania Yatajwa Kuwa Chanzo Cha Baraka Kufuatia Amani, Utulivu, Rasilimali Na Uongozi Bora

Dar es Salaam, 5 Agosti 2023: Taifa la Tanzania limetajwa kuwa chanzo cha baraka kufuatia amani, utulivu na rasilimali za...

READ MORE

Gamondi Ampeleka Maxi Ufukweni Dhidi ya Al Merrikh ya Sudan

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina, ameamua kuwapeleka ufukweni wachezaji wote wa kikosi hicho akiwemo Maxi Nzengeli...

READ MORE

Uteuzi: Rais Samia Ateua Majaji Wa Mahakama Za Rufani, Mahakama Kuu

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama za Rufani Nchini. Walioteuliwa ni, Jaji Lameck Michael Mlacha ambaye...

READ MORE

Mkutano wa kwanza wa mabadiliko ya hewa barani Afrika waanza mjini Nairobi

Mkutano wa kwanza wa bara la Afrika kuhusu mabadiliko ya hali ya unafunguliwa leo Jumatatu katika mji mkuu wa Kenya,...

READ MORE

Rais Samia Ateua Naibu Mwanasheria Mkuu, Katibu Mkuu Na Naibu Mambo Ya Nje

Rais Samia amemteua Balozi Prof. Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Dkt. Evaristo Longopa...

READ MORE