×

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa July-29, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya...

READ MORE

Uingereza Yaelekea Kupata Waziri Mkuu Mpya Wiki Ijayo 

UINGEREZA inaelekea kuwa na Waziri Mkuu mpya baada ya Waziri Mkuu wao wa zamani Boris Johnson kujiuzulu mwezi Julai kufuatia...

READ MORE

Mkuu wa Mafuta wa Urusi Maganov Afariki kwa Kuanguka Kutoka Dirisha la Hospitali

MWENYEKITI wa Kampuni kubwa ya mafuta ya Lukoil nchini Urusi, Ravil Maganov, amefariki dunia baada ya kuanguka kutoka kwenye dirisha...

READ MORE

Wabunge Kulipwa Mishahara Mikubwa DRC Congo Yazua Taharuki

WABUNGE wa DRC Congo wamezua taharuki kwa wananchi wao kwa kulipwa mishahara mikubwa karibuni dola 21,000 kwa mwezi bila kujali...

READ MORE

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba Atoa Majibu Kuhusu Tozo za Mitandao ya Simu, Benki na Kodi za Majengo

Waziri mwenye dhamana ya fedha, Mwigulu Nchemba amesema serikali imeyapokea maoni yote yaliyotolewa na wananchi kupitia vyombo vya habari na...

READ MORE

Kinana: CCM Haitamvumilia Mwanachama Yeyote Anayetaka Uongozi Kwa Kutumia Udini,Ukabila Na Ukanda

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amesema Chama hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye anataka...

READ MORE

Hospitali Yashambuliwa kwa Makombora na Majengo Kuharibika Vibaya Ethiopia

VURUGU zimeongezeka nchini Ethiopia na kushambulia majengo mbalimbali likiwemo jengo moja la hospital iliyopo kwenye eneo la Mekele katika Jimbo...

READ MORE

Rais Samia Afika Kuhani Msiba wa Mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 1, 2022 amefika nyumbani kwa marehemu, Chukwani...

READ MORE

Mwakinyo Kupanda Ulingoni London Septemba 03, 2022

BONDIA namba moja nchini Hassan Mwakinyo, Jumamosi hii Septemba 03, 2022 atapanda ulingoni kuzichapa na bondia Liam Smith wa Uingereza...

READ MORE

NHIF Kuja na Mwarobaini wa Kuokoa Mfuko wa Bima, Waziri Ummy Atoa Maagizo

LEO Septemba 1, 2022 Waziri wa Wizara Afya Mh. Ummy Mwalimu ametoa ufafanuzi juu ya kutetereka kwa mfuko wa Taifa...

READ MORE

Marubani kufanya Mgomo wa Kazi Baada ya Kushindwa Kupandishwa Mshahara

  MARUBANI katika shirika la ndege la Ujerumani la Lufthansa watafanya mgomo wa siku nzima hapo kesho Ijumaa. Mgomo huo...

READ MORE

Haaland ni Moto wa Kuotea Mbali, Mapemaa! Ameanza Kuvunja Rekodi Ligi Kuu Uingereza

BAADA ya kikosi cha Manchester City kuiadhibu Nottingham Forest klabu iliyopanda ligi kuu Uingereza msimu huu kwa kichapo cha mabao...

READ MORE

Video: Waziri Mwigulu Atoa Ufafanuzi wa Tozo za Miamala ya Simu na Benki

 Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Tozo hii si kodi ya Biashara wala si kodi inayotokana na faida ya...

READ MORE

Afghanistan Yasherehekea Uhuru Tangu Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani

NI siku ya kuvutia katika mji wa Kabul nchini Afghanstan baada ya utawala wa Taliban kutangaza siku ya jumatano kua...

READ MORE

Fiston Mayele, Stephane Aziz Ki Ki Waongezewa Mbinu Yanga Mabeki Wajipange

  KATIKA kuhakikisha wanapambana na mabeki jeuri na wababe uwanjani, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amebadili gia na...

READ MORE

Moto Uliozuka Mwanza Hotel Wazimwa Huku Chanzo cha moto bado kikiwa hakijafahamika

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima amesema kuwa moto uliozuka na kuunguza Club ya Dallas iliyo ndani ya Mwanza...

READ MORE

Wakili wa IEBC: ‘Tume ya Uchaguzi Haina Kasoro, Wafula Chebukati Hana Kosa’-Live

MAWAKILI wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC wameanza kutoa mawasilisho ya kupinga kesi ya kutaka matokeo...

READ MORE

Je Wajua Faida za Kunywa Chai ya Majani ya Mchaichai? Zisome Katika Makala Hii

    INASAIDIA kuondoa wasiwasi. Watu wengi huona kunywea chai ya moto kuwa kuburudisha, lakini chai ya mchaichai inaweza kutoa...

READ MORE

Mshambuliaji Tuisila Kisinda Arejea Yanga, Klabu Yathibitisha Baada ya kuachana na Berkane

  Klabu ya Yanga imethibitisha kumrejesha mshambuliaji Tuisila Kisinda (22) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo klabuni baada ya...

READ MORE

Okiya Omtatah: Wapiga Kura Hewa Nusu Milioni Walipiga Kura Katika Uchaguzi wa Kenya

SENETA mteule wa Busia Okiya Omtatah Jumatano Agosti 31, 2022 alidai kuwa kuna zaidi ya kura 500,000 ambazo hazijaelezewa katika...

READ MORE