×

Simba Yawakalisha Wajelajela Tanzania Prisons, Mkude Apeleka Kilio

KLABU ya Simba leo Septemba 14, 2022  imefanikiwa kuondoka na alama tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa bao...

READ MORE

Ommy Dimpoz Afunguka Sakata la Baba Yake, Aeleza Kila Kitu “Hakuja Kumzika Mama”-Video

Faraji Nyembo ni baba mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Omary Faraji Nyembo almaarufu Ommy Dimpoz ambaye ameonesha kuchukizwa na...

READ MORE

Fahamu na Zijue Faida za Kiafya za Utumiaji wa Bia

    Bia ina lishe zaidi kuliko vinywaji vingine vya pombe. Tunasikia mengi juu ya wingi wa antioxidants katika divai,...

READ MORE

Wamalawi Wabaki na Jina la Chama, Kocha wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa Afunguka

KOCHA Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa ameweka wazi kuwa watakuwa kwenye wakati mgumu zaidi katika mchezo wa marudiano...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Ujenzi wa Mradi wa Maji Butimba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la msingi Mradi wa...

READ MORE

Princes William na Harry Kutembea Nyuma ya Jeneza la Malkia Hadi Westminster Hall

  Wanawafalme William na Harry watatembea pamoja nyuma ya jeneza la Malkia katika maandamano huko London Jumatano.   Ndugu, pamoja...

READ MORE

Beki wa Man City Benjamin Mendy Akutwa Hana Hatia Kesi ya Ubakaji

STAA wa Manchester City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia kwenye kesi ya ubakaji  wa binti wa miaka 19, Mfaransa huyo ...

READ MORE

TGNP na WiLDAF Watoa Mafunzo kwa ADA TADEA Namna ya Kuandaa Sera Zenye Mrengo wa Kijinsia

    MTANDAO wa jinsia nchini, TGNP kwa kushirikiana na shirika la WiLDAF wametoa mafunzo kwa chama cha siasa cha...

READ MORE

Exclusive: Baba Mzazi wa Ommy Dimpoz Afunguka Mazito, Kazi Yake, Dimpoz Ni wa 9 -Video

 GLOBAL TV imefanya mahojiano na Baba mzazi wa mwanamuziki Ommy Dimpoz, mzee Nyembo, anayeishi Sumbawanga akifanya biashara ya kuendesha...

READ MORE

Simba Yaibadilishia Mbinu Prisons leo Jumatano Katika Uwanja wa Sokoine Mbeya

  KIKOSI cha Simba leo Jumatano kitakuwa na jukumu moja tu la kuhakikisha kuwa kinaibuka na ushindi mbele ya Tanzania...

READ MORE

Rais Ruto Awateua Majaji Sita Walioibua Utata Kuwaapishwa leo Ikulu Nairobi

Rais wa Kenya William Ruto, saa chache tu baada ya kuapishwa kama kiongozi wa taifa hilo la Afrika Mashariki, aliwateua...

READ MORE

Nafasi za Kazi 4 Baraza La Sanaa Tanzania (BASATA), Afisa Sanaa

POST AFISA SANAA DARAJA LA II – 4 POST EMPLOYER Baraza La Sanaa Tanzania (BASATA) APPLICATION TIMELINE: 2022-09-01 2022-09-14 JOB...

READ MORE

Mfalme Charles III Afanya Ziara ya Kihistoria Ireland Kaskazini- Video

Mfalme Charles III amefanya ziara yake ya kwanza Ireland ya Kaskazini tangu alipovikwa taji la ufalme. Mfalme Charles anazuru mataifa...

READ MORE

Video: Kumekucha Bungeni, Wabunge Wanawabana Mawaziri Kwa Maswali, Spika Tulia Anaongoza Kikao..

 Bunge la 12 mkutano wa 8 kikao cha 2 kimeendelea leo 14 sept 2022 Bungeni Dodoma. ⚫️ SIKILIZA +...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo Sep-14, Kwa nusu bei tu Twende APUNI iOS https://apple.co/38HjiCx Android http://bit.ly/38Lluc8  ...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Septemba 14, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 14 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Rais Samia: Kenya Imeonyesha Ukomavu wa Demokrasia kwa Nchi za Afrika Mashariki (Picha +Video)

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Septemba 13, 2022 amewapongeza wananchi wa Kenya kwa...

READ MORE

Masharti Mazito Utajiri wa Mondi… Siri Yafichuka Kutosadia Ndugu Zake Isipokuwa Mama’ke tu

NASIBU Abdul Jumaa almaarufu Diamond Platnumz; ni staa mkubwa wa muziki wa kimataifa wa Tanzania ambaye mitandao kedekede inamtaja kuwa...

READ MORE

Daktari: Wanaojaribu Kujiua Wasishtakiwe

MADAKTARI wanaotibu magonjwa ya afya ya akili, wameiomba serikali kupitia upya sheria inayowafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe...

READ MORE

William Ruto Aapishwa Kuwa Rais Kenya Katika Uwanja wa Kasarani, Nairobi – Video

Dk William Ruto leo Septemba 13, 2022 ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya akichukua nafasi ya Uhuru...

READ MORE