The House of Favourite Newspapers

Papa Wemba ndani ya Bagamoyo

0

papa wemba bagamoyo (4)Jukwaa ambapo shoo ya Papa Wemba itafanyika muda mfupi ujao katika Viwanja vya Mwanakalenga, Bagamoyo.papa wemba bagamoyo (2)Jukwaa likiwa limepambwa.papa wemba bagamoyo (1)Baadhi ya watoa hudum ya kwanza wakiwa wamejipanga kutimiza wajibu wao endapo tatizo likitokea.
papa wemba bagamoyo (3)Baadhi ya watoto waliohudhuria tamasha hilo mwalimu Masayo Inoue anayefundisha michezo mbalimbali ya watoto.

BAGAMOYO (1)Kikundi cha wapiga ngoma wakikamua
BAGAMOYO (2) Kikundi cha wapiga ngoma wakikamuaBAGAMOYO (3)

Wapiga gitaa maarufu nchini, John Kitime na Anania wakifanya yao.

MWANAMUZI maarufu wa Soukous kutoka Kinshasa nchini Kongo, Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kama Papa Wemba, yupo Tanzania kufanya shoo kwenye Tamasha la Muziki wa Asili ya Kiafrika lijulikanao kama, Karibu Bagamoyo Music Festival 2015, ambalo limeanza kurindima katika Viwanja vya Mwanakalenga mjini Bagamoyo, Pwani leo.

Tamasha hilo limekutanisha watu wazima na watoto. Usiku wa leo mkongwe huyo wa muziki, Papa Wemba anatarajia kufanya shoo kubwa katika tamasha hilo.

Tamasha hilo litaendelea kufanyika mpaka Novemba 9 mwaka huu.

PICHA NA DENIS MTIMA/ALIYEKO BAGAMOYO

Leave A Reply